Nikiwa naishi Mombasani nilibaia singo madha flani anklet ya silver for her birthday. Alikuwa anakuja job mombasani for one week then anarudi. Happens tulikua tunakata drinks aka mention ni birthday yake nikamshow kuna gift nitampatia kesho. Nilienda kwa jeweler anaitwa sonara buddha pale old Town nikawai ya silver for around 1300bob.
Singo madha alibambika Niaje? Alikuwa anapanda ndege kuniletea mavitu almost kila weekend.