Nimeangukia contract ya kujenga nyumba ya gorofa tano na kazi ishaanza.There was a time nilikuwa nafanya mjengo so nimeona hii siwezi acha inipite tu hivyo.
Mpaka naimezea mate. I need a side project sai kenye nko nako ni kadogo. But kunayo nategea ya 6 storeys next year ivi but should you need to sublet some quantity lemmi know