Wadosi wameenda out on Sunday sasa house boy Omondi badala akate nyasi amekalisha kiyambis kwa sofa ya wadosi na kuwasha 72inch smart TV. Na hapo kando ana ka juice hivi.