KPLC...

AMB_Sunday

Village Elder
#9
Na nimenotice sikuiz hakuna wale metre readers. So if you still on Postpay, unawekewa bill yenye iko computer generated not the exact thing. KPLC wame evolve into something very customer unfriendly
 
#10

Very true. Last month nilipata bill ya 3k na the most I've paid is 1,200/-. Had to visit their offices kuzusha !!
 
M-Pesa

Village Elder
#11

Mbona msiwekewe ya tokens na muache kusumbua ama nyinyi ni wale wakenya wakukataa kitu mpya ati "inakulaga pesa sana"
 
Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila.Cast your vote!

AMB_Sunday

Village Elder
#15
Kawaida ya ofisi za gava sijui attitude hutoka wapi kwanza ka umekatiwa stima ata kama ni by mistake alafu uende kuomba usaidizi ndo utajua hujui my fren
I am thinking of applying for a token metre line sasa. Juu bill ya nare huja figures za ujinga na saa hizo you know kitu imekula moto kwa nyumba ni iron box tu. KPLC sucks, na hakuna option ingine
 
Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila.Cast your vote!

Who will win the 2022 elections? Ruto vs Raila. Cast your vote!

Top