KRA Help

#6
Tu
Hata mimi namhurumia. Deni ya China man lazima italipwa. 20k ya 2016, 20k ya 2017 halafu penalty na interest. Halafu ng'omve ipatikane haijalipanga tax. Mkwaju kwa diabs by Ushuru Kenyatta.
Kuna jumba niliona hapo Haile Selassie Av. imeandikwa 'TULIPE USHURU TUJITEGEMEE'
 

Ghaseer

Village Elder
#7
Is it a company ama individual? I heard they froze all amendments juu hapo ndio cash cow ilikua. Wamesumbua jamaa mwingine wakati aliapply for "year end change"....its 2 yrs now na iyo PIN haikubali any filing.
 

Top