Ktalk Engineers kujeni hapa

Eng. @D_Minor member, Institution of Engineers of Kenya says slab of building that collapsed at Precious Talent School in Ng’ando killing 7 pupils & injuring over 64 others, was constructed using chicken coop wire.

[ATTACH=full]261819[/ATTACH]
@Motokubwa (supplier wa material) lazima afungwe wakiwa na ile bonoko ingine @Randy (contractor)

@Motokubwa ni meffi. Kwanza shida ni ya mwenye shule. Hakuna kitu mbaya kama stingy developers hao ndio hupea fundi vile watafanya. Since juu fundi hana kasamthing hutii na kufanya shoddy work.
Kuna mahali nikiwa Mtu WA mkono fundi used to compromise juu ya pressure ya mwenye kazi. Weka wheelbarrow Saba na mfuko ya simiti moja. Fundi anasema nyumba itakuwa weak itaanguka. Ana muliza kwani wewe ndio utaishi Kwa hio nyumba.

Supplier Shida yake ni gani.
Kama unataka kujengea wanafunzi nyumba ya kuku wasomee huko mimi nakuuzia wire mesh. Shida iko wapi? Same na watu wakununua panga… Matumizi niwewe.

Yaani ata sio BRC?
Some greed is just too much.

How many buildings have come down in eastlands and many other parts of Kenya in the past few years because of this same problem but the government continues to sleep on the job.
Kenyans do not value Kenyan lives, we are worst than the colonialist who oppressed us all those years.
There exists engineering students and all sorts of qualifications but the county governments are just full of incompetent seat warming, salaried staff who can’t do their simple task of inspecting building standards and planning.
People will continue to die carelessly until counties get into their thick heads what their job is about.
Failed state.

Those are the worst since they think with their education they can fleece the government without being caught.
Why do you think looting in government has escalated to the levels it is currently.

Huko ona memo ya African government kazi ni kuokota ushuru pekee yake. Security ni ya kuintimidate raia wakunje mkia.

They are qualified yes but they are getting into a rotten system.
Serikali za Africa ni PR tu.

as a harvard school of engineering graduate, nitasema hivi,problem sio hio wire mesh cause hakukuwa na slab hapo ,offcuts ndio huwa slab hio huwa floor ya kuwezesha kuosheke

ongea Okuyu Oswahili ikikataa jamaa

Wakanyake, niko hapa kukufunza, next time shine na hizi words, “joists na floor boards”. Engineering yako iko sawa lakini

he he he ,hakuna vile naweza ita ‘mathirefu’ floor board liwe liwalo

fala, tuko very busy

Before you condemn the Engineers, structural designs as well as the certifiers should be availed.
If designs are certified in a strict manner, collapsing buildings will be a thing of the past.
Pssst. No engineer worth his salt will design a slab with chicken coop wire without ensuring the load to be supported can be accommodated.

Hehehe… this is not a slab get your facts together before you call ppl names…your ignorance is showing.

Kwanza huyo @Randy aongezewe shtaka la kuwa member of Mungiki sect/gang

Budako ndio group leader tukifungwa mta wachwa na nani?

Lakini sijaskia kama choo za huko zimeanguka ambia huyu jamaa asikuwekelee bana

Naona umesikia budako atawekwa mneti ukabadilisha narrative! Good boy …:smiley:

Mungich unajua wewe ni mujinga sana