Ktalk usiku sacco

Status
Not open for further replies.

Meria Mata

Elder Statesman
#1
Nimefika Mombasani vizuri lakini gari kubwa nimewacha Mariakani weighbridge, deree alichukua poko mlolongo na nimespin mpaka voi, sema ma gear kuingia vizuri, @Ka-Buda i envy you
11828671_462372360608254_2500063936495386304_n.jpg
this is what kept me going
11774732_872274076192445_943824664_n.jpg
sijawai kula mugoks lakini nimeskia sio mbaya
na audio system, nilidunga flash yangu ya ma reggae hapo nikaskia niko nyumbani
11742639_10153457282896341_4649944694821395302_n.jpg
the road was unevetfull lakini nilipata hii wide load
11800306_1478785129100186_5958991161304649335_n.jpg
and sometimes barabara ilikua yetu, lakini omata analia sana
11755929_524146711085724_6763368911229790180_n.jpg
kuongea na deree akanielezea about truck cabins
11800492_739518079491910_5422239372245699206_n.jpg
chagua yako depending on your load and distance to travel
saa hii na elekea mundeke, hope wanknanyama aka @Wakanyama hayuko huko, Nairobi naja tena December
 

le scumbag

Village Elder
#13
Ukitaka kuwazubaisha na kuwastua akina yahe,usiite wide load,iite OOG...Out Of Gauge Load. Watashindwa unaongea lugha gani.

Moving on,I miss those,Nairobi Mombasa trips ndani ya prime movers. Inakuwanga raha tupu but dangerous as hell. But what fun is it if there is no element of danger/risk?
 

Ice_Cube

Village Chief
#14
Usiwahi panic, kina mayeks live on them. Nilikua nabuy miti Kongowea, natema Nairobi ama Mlolongo natema Mtwapa. Hio barabara yote solo bora nina mix kali. By the time nafika destination nimejenga flats kadhaa miami na nina private jets na yatch.

hahathe only time nilikula hizi matawi nilikua nalewa pia, and I started swallowing them, niliumia the next day
 
Status
Not open for further replies.

Top