Ktalk World Cup Fantasy Table

Next time nitakuwa no 1, Kama Hauko top 10 pole.

[ATTACH=full]183920[/ATTACH]

@kermit please create the EPL fantasy group na unipatie invite code nilete watu

kuna siku nilisahau kuweka bench boost (round of 16). 20 points zikaenda hivo tu

Nilimaliza na 249 points. So Sterphylococcus nimemtoa top 10…hehe

Ati NYS looters FC

[ATTACH=full]184019[/ATTACH]

wat are you humans talking about

Football, mbona unakuanga nyuma hivyo?

Trying to assemble my FPL team…
Are you guys leaving out the people who featured in the WC ama you’re bringing them on board immediately?
I’ve left them out, hoping to integrate them pole pole as the season progresses.
Or are there any stars that you think will play early?
Akina Salah maybe? Guys who didn’t proceed far?

Hiyo bei ya Salah inauma

Lakini last season alinijenga points kama zote.
Yeye na Sane alikuwa on fire

wadau naona mmeendelea.
FPL KTalkers code ndio hii>>>> 812557-182084

cc @Deorro