kuajiriwa in kenya ni upus

Imagine jana ulikuwa unaringia watu you work for the biggest bank in kenya na next week unapiga tarmac na hizo masuti zako kama mahastler wengine

[MEDIA=facebook]robertalai/posts/3776622552397977[/MEDIA]

Hapo mimi sioni shida…kuna a sense of entitlement guys have and it’s so foolish…kama organisation si ya kwenu don’t be entitled…hakuna breach of contract pia…so all of this is just some entitlement BS

The entitlement with kenyans stinks to the high heavens. they will also suddenly dislike you if you ever became successful and will always have something to explain away the success. Pooh!

Sina issue na policy ya bank. Ny issue is dem niggas thinking that was a reliable employment opportunity

Si contract imeisha? ama huyo msee anataka aje

Kwani lazima wangeajiliwa permanent basis?

Kuna watu wajinga sana hii Kenya. Hii entitlement ni mbaya sana. Kama contract imeisha kanyaga kubwa kubwa utafute job ingine.

Kwani ni watoto ati wananyonyeshwa maziwa

As long as kampuni si ya babako ama nyanyako expect to be fired anytime you are no longer useful.If you are on contract your employer is not obliged to change your status to permanent just because you have worked there for long.The reality of capitalism is that as a businessman I use you as much as I possibly can to make myself as rich as possible while paying you the least.The moment I find cheaper,educated,less demanding labour I fire your ass.
It’s even worse in the advanced economies in the States and UK.Kama hutaki kuvutwa kazi ovyo ovyo use your employment days to save up for capital.Do not ever get emotionally attached to an employer.If you get fired,get on your feet very fast and look for another job.Remember that the end game is to raise adequate start up capital to start a business in an area that you are absolutely familiar with,not to be permanently employed until you retire.
Until bonobos realise and adopt this mentality,we shall forever be hearing stories of people who worked until retirement and then die two years after retirement because of stress associated with eating all their retirement money with Njeri Amina and Aisha in Malindi.

Same case with some niggers with jalopies laughing at watu wa route 11. Huyo jamaa wa kukanyaga miguu kesho akinunua gari utafanya?!
Cheka tu kama babako/mamako ako na kiwanda ya kuunda magari baaas hapo tutakuheshimu bure wewe ni ghasia tu.

Bonobos all over the place full of entaitoment

Lakini how come kenyans huwa thick ivo kwa akili? Mtu anafanya bank hajui vitu basic?

Contract enye alisign inasemaje?