Kuchapa serikali

while working in Kakamega . the town was small so street za CBD Ni kama mbili main Ni hiyo ya mama watoto supermarket , juu ya super Ni club illusions one of the best at the time , hapo ndio bigwigs tulikua tuna harvest ngombe za mmust , masinde muliro uni . sasa hio street ndio ilikuwa kama uko dry spell unachukua malware yako una chapa antivirus . au nyoka za shida zilikuwa huko chini side za hotel wings , huko security is not your friend . by SAA NNE wame jificha hapo kwa shops na bars .

So hii day Friday navy seal nimeita nyoka Fulani , nilikuwa nimerusha ndoana for a while , tuka agree anakuom . nimeingia hapo jua Kali estate nimeoga nimechapa adibas juu chini mbio mpaka illusion namumunya tusker yangu Ni 24th pesa imeingia mfukoni . and kach is a small town so munajuana wote kwa club .

Colleague Okemwa amekuom na madem watatu tunakunywa pamoja ana cheza through pass nalenga since Ashley anakuom staki mambo . Okemwa na madem wakachomoka . SAA sita ghassia amezima simu , nimejam nimelewa nimekuwa sumbua . nikasema kama Steven seagal wacha niende nichukue nyoka nikule .

'Niaje ’
Poa
Shot Ni ngapi ?
Mia mbili
Niko na 150
Twende basi .

Hapo nyuma kuna rooms nikatomba shot moja nikachomoka kutoka hivi Msee akanishika collar

’ Ni nini banaa unanishika ’ nikasema kama nimemfungua left , the dude fell down he was in civilian . ghafla bin vu 7 people appeared from darkness three in uniform with Ak47 … Nikajua hapa nimededi

’ unapiga afisaa ’ mmoja akasema kama nimekula sweep .

'Apana afande , ’

Simama ghassia hii

I stood up and luckily I knew the cop he was my customer , small town .

’ Ni wewe Uwes , unafanya nini hapa ’
'Nilikuwa natafuta maziwa Omosh banaa ’ :smiley:

‘Huyo jamaa atajua Mimi Ni nani ananipiga aje ?’ Said the injured cop

’ tulia huyu Ni ule jamaa wetu wa pale ****** anatupeanga pesa . ’

So he told me since ule jamaa amejam twende laps nao mpaka hapo HQ ani release , na ulevi yangu nikasema ni sawa . laps mpaka hapo its a stone throw away .

Walikuwa wamebamba watu kama 20 , mimi kama VIP natembea na Boyz in blue , ghassia zingine huko kando . kufika wale wakuongea wakaachiliwa wengine ndani , VIP , nimesimama kando .

Kidogo ule jamaa nilimukula upper cut akaniitisha ID nikampa after few mins akanirudishia kama ameingia mitini . Mimi nasmile tu Cheshire cat style kama kidero nikingoja hapo kando Omosh mzito aniachilie .

Omosh akakuom ati

'Ayayayayayayai ule fala ametu blunder ’
‘Kiaje ?’

'Ame kurecord kwa OB ’

'Shida iko wapi ’

So apparently after you are booked in the OB OCS tuu ndio anaweza Ku release .

Nktttt ilibidi nimelala hapo but Si kwa cell in one of the offices but OCS akikuom 6.30 niliingizwa kwa corridor ya cell kiasi then I was released by 8 nilikuwa job . comeback nilifanya is I got the cops name ule aliniseti . end month we always gave them overdrafts , so he had two accounts moja ya salary mmoja Si ya saloo.

Akakujia OD nikamuekea kwa ile account Si ya salary akatoa akasahau ikakuwa bad loan coz salary ilikuwa inaingia kwa ile ingine . then the consecutive ODs salary zikaendelea in the normal account . so the other account had a debt nikarusha number yake CRB and he was listed . kukujia salary loan ile ya kujenga ya 500,000 nikamwambia ako listed no loans for 7 years . those years CRB was unheard of , nilitesa hio ngombe for a full year mpaka akaomba msamaha . we became friends later . Ni ocpd huko coast .

Believe it or not.
Not to believe.
Unbelievable.

Am at a loss.

Niaje Malaya?

Poa mnyama mrefu.

Hehe hapo kwa kukubook alicheza kama yeye, only the OCS, hata ocpd akikuja na ocs azime simu hakuna mtu anatoka cell.

the man deserved it, lakini 1 year is too long, halafu fimbo ya karibu ndo huuwa nyoka, unge receive through pass neti ingetingika, siku hizo naona hukua [SIZE=5]FISI[/SIZE] ulikua fisi

hekaya swafi, shika like

Tea boy, hekaya ni mufti lakini how did you manage to convince the manage arushe huyo afwande CRB?

Umesoma story poa ,Abdul, what is there to convince the manager

Soma hapo tena, Umekamua ngamia hadi unakaa Ngamia

Nice hekaya but the point of contention is:-
Constable to OCPD, can only happen in a span of not less than 25 years.

Hakuna mahali nimesema alikuwa constable

Niaje Artur margaryan came from being a foreigner to an assistant police commissioner in one week ?

Safii sana hekaya. Pewa FAXE

:D:D:D wacha swali za kipuzi, that was a political appointment, obako alifuata mambo ya mpangoh

Hekaya nmeisoma poa sana. What you don’t know is that @uwesmake ni teaboy pale KWFT. So in your right senses explain to me, since when did a mere teaboy deal with anyone’s account? Achana na hio divai unakunywa haikupeleki poa kaka brasa.

shemeji akipatiana story hapa lazima mistake as the gospel truth, so kujaribu kupoke holes

Nani asome hii upuss yote?

Hehe … I see what you did there

nitakupiga headi uone marudurudu

Shaking my bald head.
Diep.