Kudilute Chalk

Mwarim amefunga shule leo, naanzia na hii ya mayengs then niitishe nyapoleone mbili na maji.[ATTACH=full]251485[/ATTACH]

Mwalimu @Elgin bana unaniangusha.Unaiba kindle ya watoto ya tusome literacy programme unaweka hapo tudhani ni tab? Unatumianga kusoma story za Sungura na fisi au?

Hehe, za watoi ni yellow yellow bana. Hii ni yangu all the way from Oxfordshire mkuu.

Umeweka back cover na ukapaka rangi:D:D

Mwalimu umeaangusha Kijiji ,kwani hakuna ka t.p ulikua umewekea wanted ufunge nako shule?

Na naona mwalimu we ni mtu wa kusaniff na pia roster ni kawaida yako. Au Rhino kubwa ni ya nini?

Hao unakula in their second week, unataka thru nikujenge mara hio hio?

weka kifunguu za premio vizuri

Kanakuanga ka vitz

Hehe, hii kifunguu ni ya Virony ya Keja…yangu ni keyless kama Nameless!

Juu shule zimefungwa mtakuwa mnakula wapi lunch:D:D

raha jipe mwwalimu

Hapo sawa lakini pombe za wanawake acha. Alafu usikule one of the ngeos unafunza

Btw holidays is one ‘hard’ month for very many teachers, kuna majamaa najua huwa wanakula shule hata ugali na mboga inapelekewa family, especially those who are housed by the school. Anyway Elgin, atakula,alewe na akulane…nimejipanga wakuu. Btw mimi hupiga taxi sana nikiwa holidays.

Ukinywa hizi, wanawake watabaki na Delmonte?

Hang on one tick…one second! and we are expected to hand over our children to you? not just day the scholars but boarders?

You part-time uber?

take it easy Shosho,

I never take it hard tho.

Mwalimu ako holiday, let him indulge