Kudrive

Tafadhali wakajiji hope kuna Daktari lakini asikuwe Wa miti shamba. Jana nimekula ka nyama I mean matumbo SAA hii na drive nonstop Yaani niko na diarrhoea. Kunyamba ni shida coz inakuja na gurumo za radi na zinachafua suruali. SAA hii nime maliza ile tissue roll kubwa ya 35 ile huuzwa rounder ya kariobangi.wacha nikimbie kwa choo kubielo nakuja kumalizia hekaya

Hii sio hekaya, more like umeffi thread…

Its not umefii ni kuhara hadi rectum inawasha

Unataka utibiwe na nani…ama uende India. Tumesoma ata cc

ati, tissue ya bangu “karoishada” hiyo yote

Ngori breathe SAA hii nimehamia kwa gazeti

toa umeffi hapa

Leta ukojo basi kuma nyeusi

Kunywa maji kwa wingi, you will be fine

Kula matumbo tena to counter the problem.
An eye for an eye .

really.thats what you really thought waeza andika.

Ahahaha! Kwani muharo pia huwa na kutoa lock?

Inaitwa counter attack.

Kuendesha ni kitu mbaya, yaani unakonda na siku moja.

Angusha hekaya Afande, na si ya South B

:D:D:D, mwambie badala ya tissue, atumie maigoya

Peleka kiti karibu na choo ukae uko. Meffi

Kwani alikula matumbo ya nguruwe?.kikikii

I hope hauko Mombasa, Unaeza shitukia ni kipindupindu