Kuendesha bike Nairobi

Sini noma.Kuna time nilikuwa nafanya job inda pale pate road Karibu na kampuni ya Nescafe.Hiyo kampuni ilikuwa mpya so sisi ndio tulikuwa wakwanza kuchorwa. Tulikuwa maboys saba na madem wanne.
Majamaa walijikakamua tukabuy mabaiskeli ili kuokoa hiyo doo ya fare. Siku moja tukitoka waks githaa ya five, nikafika pale kwa power penye pana kamlima ndio ufike doni,nikaamua wacha nikanyage bike mbio kabisa ndio niweze kupanda hako kamlima bila shida yeyote,makosaaa.Hapo palikuwa na jam noma sana.
Mimi sijui what happened,nilipita na side mirror ya gari karibu nivunjwe mkono.side mirror ikaanguka chini.nilistuka nikasimama hapo,donda mmoja wa lunga akanistua unangoja nini,sikungoja neno lingine.Nikainua bike juujuu nakuanza kurudi kwenye nilikuwa nimetoka.Mwenye gari alipoona nahepa,akaanza kupendua gari anifuate.What saved me ni zile gari zilikuwa zinatoka doni,so kabla apendue ndae bike ilikuwa inachapa 80.Mimi huyo nikafika pale nanyuki road,nikapiga magethafu zangu nikaona nikifuata hiyo njia huyo jamaa atanishika, nikaamua wacha niende niingie lungalunga. Big mistake jamaa alikuwa anaendesha gari kama wazimu,i think huyo jamaa alikuwa ameamua kuniua.
The way I ate that kona ya kuingia Sinai mpaka wa leo sijai jua.mimi huyo Sinai ndani.Jamaa yangu nilikuwa naskia tu umbwaa wewe nikikushika nauza makende hizo zako.I knew niko safe juu huyo jamaa hakuna venye angenifuata kwa ghetto. Hii Nairobi watu wa cheki maneno wana Shida.

:D:D:eek:

hahahahhahahahahahahha

Sounds like a Dj @Afro clip:D:D:D . Otherwise, Ulipona??

kuna gif flane a guy on a bike eating a corner well suited for these hekaya huwa inanimalisa @Freakazoid kuja hapa kidogo

niko poa kabisa

https://media.giphy.com/media/4XgW6C3t0OZuU/giphy.gif
[ATTACH=full]151266[/ATTACH]

:D:D:D:D angekupata hapo kwa jam angechukua bike yako

hio ya kwanza imewesa. jamaa ana overtake na hakuna kile mnaezafanya.

:D:D:D:D:D

Angeuza makende moja ubaki kama…ama wacha tu