kufikiria na mjulubeng

Juzi my ex alinipigia akaniuliza kaa niko kwa nyumba. Mimi na ufisi yangu na venye nlikua dryspell nkafikiria na dick badala ya akili. Pap! Nkajua naletewa nunu nijikumbushe venye ilikua inaoja… Nkamwambia nko kejani… Mbio mimi noogle nkakimbilia condom za KISS ME… majugu nkanunua grade one yenye ukikula libido zinapanda kama soda ya coke… Saitani mimi nkaosha nyumba na nkaomba air freshener kwa jirani ndio nyumba inukie sexy… Saa hio kigongi inatick kaa mkono ya wall clock… Mimi na madryspell nkajiambia akikam sifai kumwaga haraka… Kwa bafu nkawank shot mbili nkajua akikam namsugua hadi majirani wanitambue… Nkatoka tena nkaendea smirnoff ya kumueka extraordinary githinyaku na tusnack kadhaa… Kurudi kwa nyumba akankall akaniambia ako karibu… Mi nkafungua mlango na nkajilaza kwa sofa na boxer, usisahau condom Ziko kwa meza… Kigongi saa hizo kinakaa aerial ya greatwall venye kime tent boxer… Waaah kumbe shetani si kipii… Ndo uyo ex ameingia na mamake na babake na wazee watatu…kumbe saitani ilipata ball last sex session… Ata saa hii nmejifungia kwa choo ya bedsitter yangu… Njaa inanimaliza nitumanieni KDF na maji…

NV acknowldege source haraka haraka kabla wafike

Hii ni hekaya ya Mark Maish shame on you

NOOGLE

Kombamwiko ya sabina joy

Meffi

Sameheeni yeye.

Kumbaffu!!

:saitan::mad::mad::mad:

:meffi::meffi:

:meffi::meffi::meffi::meffi:

Umbwa takataka Ghasia hii

:D:D:D

Hehhe… noma

hahah meffi sana unasumbua aje elders uku

Huyu ni elder amejificha na handle mpya