kuharibikiwa na tumbo

leo kuna dame nimeenda kwao na hizo sides za Utawala alikuwa ameniita na nikabeba CD nikijua leo lazima nidemolish iyo riparian land vibaya sana. the thought of her telling me she had missed me made ‘SANY’ get ready for demolition. huyo mimi nimepanda gari hadi utawala. nikapatana na dame tukaenda kwao. kufika huko napatana na mathake FUCK nikajua iyo demolition notice nilipewa na huyo dame ilikuwa fake. ufala ni ati mathake ananijua imebaki form ni kuchapiana story. kufika lunch nayo nilikula ni kama sitakula tena. ikafika 3 nikaona nijikate. kwa akina huyo dame ni some distance from the road so tulitembea tu tukipigiana story. nikafika roady yeye akarudi. kutaka kuvuka bara bara nipande mat shetani akaamua kucheza lingala na tumbo yangu.

tumbo ilianza kunileta haraka manze. nikaona siezi make kuruka hadi kwa akina huyo dame nikaingia kwa college flani hapo nikijifanya ati nadai kumake inquiry juu ya course flani. niliingia nikaishia kwa choo zao. shiet hizo choo hata hazina tissue na flash imeharibika lakini juu nimekazwa nikaona wacha nidownload kwanza. nilikunia nikaskia vizuri sana sasa vile hakuna tissue nikaona hapo kuna shida kiasi na sikuwa nimebeba handkerchief yangu. kuna siku nishailetwa ikabaki nimetumia handkerchief. mbele yangu nacheki kuna mtungi imejaa maji na mkebe ya kuchotea maji na kumwaga kwa choo. sitaki kuwaambia nilifanya nini lakini jueni nilitoka hapo nikiwa msafi kuliko vile ningetumia tissue.

Siamini but i had the same experience kama wewe

Back when i was in campus, kuna siku nimetoka gishagi kwetu (kitale) nimekula vizuri, i was traveling at night na shuttle. Nikafika nairobi vizuri ingia lopha hadi ruiru. Kufika nikapata roomate ako area akanishow niaje leo jioni twende sapa kwa Cousin yake hapo toll. Shetani kumbe had other plans during the day tumbo ikaanza kucheza lingala i tried everything lakini with no vain. Jioni ikafika sisi hao toll, kufika tukapata cousin yake amepika so hakuna venye ningekataa kula ilibidii nimejikaza yangu yote. Time tunarudi nikachapia roomie niaje tumbo zii, alafu kifala kinaniambia akuna tissue kejani na ni 11 usiku duka zote zimefungwa.
Tulifika kwa buroti nikaenda kwa neighbor ka dem flani hapo nikamchapia niaje kuna msee ananose bleed na hatuna tissue anisave na roll moja nitambuyia kesho ingine.

Socks was not an option??

Angusha hekaya!

Hizi ni hekaya ama ni nini

I just dont understand the urge to tell this shitty stories

Sijasoma but from the heading I declare this a mafwi thread

These are just a waste of time and space

Wewe tumbo ikianza dombolo ukiwa Mara unaingiaga tu kwa bush,una download,kumbe kwa hiyo bush kuna lion ilikuwa ina rest,inakulamba tu clean na unaendelea na safari.Kuzoeana na wanyama ni poa tu sana

Hapo pa maji na mkebe @mayekeke can relate.

:D:D:D eeh nalambwa nikiwa safely ndani ya tumbo

Vest was not an option?