Kukaliwa chaaaapat

How does a jibaba suddenly starts kukaliwa chapat…literally following orders from wife like a toddler…inaaanzanga aje hii upus

Muulize sisi hatujawahi kaliwa.

Kwani hawezi kalia chapati zake? Lazima akaliwe?

@Randy amekaliwa…kuja hapa na hekaya

Figsed

Pedophile usinitag bure kabisa …
My bad nilikuwa nimesahau kuna block button.

Ulisa @hakimoto

ona umama Sasa, hata wewe umekuwa Kama kale kamama ka randan

Sema jina wacha uoga.

Mimi nimeanza kublock watu juzi wa kwanza ni patco wapili ni uyu they are both pedophiles … io nugu imepost picha ya mtoto na caption ya safisha macho…

Mimi sio muoga, huwa kananiogopa kuliko uji moto

Weka effidense…wacha kuniharibia jina

@Miss Finest Wine

Umedelete venye tumekupasha… .
@le scumbag can confirm.

Juan what has this handle done? I don’t use it anymore. I can see the topic is to do with blocking people. I make no apologies whatsoever. I will block block block…even if nitabaki nikisoma watu wawili ni sawa tuu. I have lost count of the handles in there.

It’s called a happy marriage. Ni poa kuconsider maoni ya bibi pia.

Yani hata wewe uko na right ya kublock mtu?

:D:D:D:D:D

Why don’t you block yourself for making fun and insulting the disabled here on this forum?

Mitch siuzi haga wacha kunifuata… nime kwambia mara kadhaa ulete evidence lakini kazi ni kibenye tu.