kukwamilia na deposit sio poa

Bigfish1

Village Elder
#3
So it isn't a story of giants after all, people actually do this.
But seriously Kenyan tenant and building laws need to style up and be clear.
Have clear contracts and be genuine.
In other news, naskia huko Aussie watu wana chapa deposit za equivalent to 6 weeks rent plus rent ya wiki mbili, kabla uingie nyumba. Ukiwacha nyumba hovyo, pesa inazama...
 
#5
Hii story ya deposit huwa wizi tu. How the f**k do you expect me to leave a house exactly the way I found it? Kuna kitu inaitwa wear and tear, houses also experience them. Ati paka rangi, that's something a landlord should do every year under kanjo by-laws. Unaexpect nikanyage na kuwekelea vitu kwa floor miaka tatu na tiles zibaki tu mpya? Unless I maliciously damage property, no one should make me pay for "rangi, floor, shimo za misumari" and other such crap. It's called the cost of doing business.
If I've been paying you 15k per month for 3 years, that's 540k, bado unaexpect nigharamie renovation ya hiyo nyumba nikihama? Wizi tuuuuuu.
 
Last edited:

uwesmake

DRYFRY ARTIST
#6

Ukweli nyumba hata ukiingia for one day uhame hio deposit ya 50k atarudisha 10k
 
sani

Village Elder
#9
landlords ujiona kama wao ndo wanajua kuinvest pesa yao. na wakikuja hosi tuwaambie hakuna operation bila deposit wanaleta shida
 
#10
Hii story ya deposit huwa wizi tu. How the f**k do you expect me to leave a house exactly the way I found it? Kuna kitu inaitwa wear and tear, houses also experience them. Ati paka rangi, that's something a landlord should do every year under kanjo by-laws. Unaexpect nikanyage na kuwekelea vitu kwa floor miaka tatu na tiles zibaki tu mpya? Unless I maliciously damage property, no one should make me pay for "rangi, floor, shimo za misumari" and other such crap. It's called the cost of doing business.
If I've been paying you 15k per month for 3 years, that's 540k, bado unaexpect nigharamie renovation ya hiyo nyumba nikihama? Wizi tuuuuuu.
nikama upande gari ukisafiri alafu tym ya kushuka manamba anakataa kukupea change Cz gari imekua na wear and tear
 
sani

Village Elder
#12
In ktalk you can be anything you've always wished..not limited to "an doctor"
sijasema mmi ni doctor. zingatia kitu inaitwa muktadha. am relating how landlords are so keen on having our deposits but wao wakijipata kwa situation zinademand walipe deposit wanateta. I could have been a doctor but io kazi siezani, its like being paid good money to work in the sewer.
 
uwesmake

DRYFRY ARTIST
#13

Banaaa hata Mimi kazi ya damu na kuchop watu bila feelings niliogopa . unaweza kuwa psycho .
 
Top