Kulala njaa was hobby

Real story of my life

Back in 2012 I got my 1st teaching job n my 1st job teaching in a private school in Thika .

Salary was 5000/= , I badly wanted to leave home , was staying shagz nawajua shagz vile Kuna kazi walai na kiatu Ni gumboot coz u can’t afford one …plus vibarua zilikuwa nadra ile ungepata Ni kulima shamba au kupalilia .

So Mimi naujinga wangu 1st salary nikahama ,nikabuy mattress 3k , home nilikuwa nimeiba jiko ya makaa na sufuria mbili na viti mbili za plastic , I had also taken some material trousers za my uncle zenye hatumii … Rent nikalipa 1500 nikavako landlord nitalipa Bal the following month…

500 nikanunua makaa na unga mboga nitajisort …

Bahati kubwa was that lunch ungepata hapo chuo na chai ilikuwa mob , plus supper ningedandia food ya watchii…

3rd month before shule zifungwe I remember telling form 2’s wasome kwa bidii , I remember one gal asking me mbona I don’t change my old shoe plus ilikuwa zile safariboot hutoka 500/= , boy mmoja hapo backbencher shouted si huwa wanalipwa 5000/= only director told us …woiiiiiiiiii hiyo iliniuma walai ,but as a man nikajikaza kufunza , I was teaching business studies …

Part 2 …situkafunga shule …
Part 2
.hustle life …

The 2nd term holiday was the longest but since m addicted to biashara , used to go to the market rent a mkokoteni buy mangoes @10/= , the load them kwa mkokoteni n sell em outside the market @20/= after peeling …zilikuwa maembe zatoka Tz zile embe dodo … mkokoteni used to rent @50/= per day …so hiyo month I survived ,pale shule there was no salAry tukifunga… Najaribu kuimagine wale youths wanafunza sahii kuna Corona wanasurvive aje Aki na salo Ni 8k
Part 2 continues

Kurundi 3rd term ndio kuprepare ma form 4 kufanya kcse … Private school huwa na ufala Sana … One day majamaa wa nssf si wakakam chuo wakadai all workers wawe enrolled nssf , blurry faking boss akaamua kukata 500/= , my salary now reduced to 4,500/= , the bloody director had no mercy his office was separated from our tiny staffroom by a block yani it was next room , there he used to sit in a big comfy office Skyping with his son in USA nilisikia was so rich …anyway that was none of my business…

He would call us on date 5 unajua unaenda kulipwa …

“Mr Macharia please” he would call me , I was used kuitwa na jina la kiheshima kwenda kupokea mshahara worth a walai…

The notes would be put in a brown envelope, 4 notes za K ,na ka punch ,

Lemme laugh kicheko Cha huzuni I continue
Part 3

Bahati nzuri au mbaya ,the director appointed me to invigilate the examination ( back then Kila shule ilikuwa inatoa 2 teachers to be sent to other schools to invigilate exams) our names would then be submitted to knec …

Kwenye nilitupwa the school was 5km away from where I stayed … so daily ni kutreck na kufika by 7 am before supervisor afike na mtihani …the worst part was no payment , the director told us tutalipwa na serikali woiiiii, if only I knew pesa ya knec ingekuja the following year late March 7,078kshs only sent via mpesa ( hiyo pesa nilikunywa yote pale club image Thika)

Part 3b next
Part 3b

So ni Mimi huyo trekking daily like a nomad worse still would get 2 meals a day …chai ya invigilators na lunch , n since it was a private school teachers from that skul would sometimes eat our lunch tunakaukiwa …

Kufika kwa keja kitu saa nane would be so tired n would just listen to Michael Jackson mp3 in that ka radio flani ulikuwa unaweka disc kanAcheza unasikiza na earphone sijui Kama ndio diskman …

I remember life getting so tough especially siku hakuna mtihani , would just make some porridge n eat with ugali …

Lemme rewind back about ugali …the 1st day nilipohama niliwekelea maji ya ugali kwa ile jiko ya makaa kumwaga unga nikakumbuka Sina mwiko , Aki nilipika na slipperssikupata cholera au Corona

Back to the exam period.

Ikawa Ni njaa watu wangu …nakumbuka exam zilipo resume nilienda ku invigilate mtihani , brathee Mimi nilipoketi hapo mbele nililala fofofo niliamushwa na supervisor akiokota makaratasi ,nikamdanganya naumwa na kichwa Aki if only she knew the son of Kiambu macharia wa kamau was a walking Deadman juu yeye alikuwa MWALIMU wa public akiiii plus she was driving …woiiiiiiiiii Mungu wengine tulikosea nanI …

Part _ 4 next
Part 4

Week 2 of the exam , this woria student and another luo student , wakakam penye Niko saa ya lunch …

“MWALIMU mambo, naskia Kuna vile tunaweza pata leakage” , ikawa Ni Mimi kucheza na rieng design ya kartelo mbogi ya kimonyoski…

“Eeeeh leakage ipo vijana ,lakini promise mtacheza ki Pierre au ki maradona” I asked them … They nodded n agreed kushtukia the woria boy akanisalamia na karatasi imekujwa kujwa before going back to sit for the other paper …Mimi kucheki the paper it was kshs 1000 note …hiyo walai iliniokolea ka sheit …

Nikapata fare ya the remaining weeks … After exam the woria had mobilised the leakage team mastudent walikuwa wamechanga 13k , niwe nawapea linkages…Hehehehehe Mimi Nani next day ilikua paper ya chem nikafika mapema n told them kutakuwa na swali ya molarity , plus Charles law itakuwa … miraculously kulikuwa na such questions …

So Kila siku before nihome would just guess the following days paper questions 80% of my hints would come , by Friday I had pocketed another 10k …

The students walikuwa mafala Sana …they blved anything I told them … Exam kuisha I was a ‘rich fella’ sikurudi ile shule nilikuwa na funza Dec holiday I had enough money for my mangoe business

2013 I applied in another school kazi ya principal mshahara 15k nikasukuma 4 yrs before I was fired …

End na sahii nafanya biashara za gas …come next year will try again in a public skul I get a story

Nisome nisisome

You should write a book about your experiences as a teacher in private schools. Lakini uchunge hiyo part ya kupeana leakage. Inaweza fanya utafutwe na DCI

Yaani unaandika hii story yote na bado hujatoka kwa mashida? Usually these long stories have a happy ending. Yours is just long. Pole sana.

Huyu jamaa ni gas tycoon SAA hii. He is supplying cooking gas to the lower part of Nairobi. He is a gas giant

Really? Gas as in mshuto ama gas ya kupika? Which one?

Pikaring

Meeeeeeen…you have suffered enough, there should be no hell for you after death.
Now,tell me vile ulikuwa unakamua tusichana twa form 3 na 4 time ya holiday…

Huto vitoto havijui kuosha tako

chunga @pamba askuskie ukisema ivo

 :D:D

Hiyo ni stuff ilifanyika years ago ata sijui DCI wataanza wapi

Ako kwa biashara sioni venye iyo ni mbaya

That some real shit. Epic

Pia wewe ulisukuma mkokoteni kama ule buda yako mwenye alikua anakulazimisha umshike mjulus…naona mkokoteni iko Kwa damu

Heh

Hehehe yah

Waaah pole Sana bro umepitia kweli

Saa hii makosa zote ni quarantine

Hehehe

ndo maana nishawai jaribu kurushia mbothe a private school girl teacher anatoa excuse hazina kichwa hataki kuomokwa na yeye

na mimi nlidhani kunguru za sales zina shida cuz once did that field