Wakuu ni muda sasa nimekuwa nikipitia JF bila kuona habari mpya. Habari ni zilizile Zach zamani. Nilipojaribu kupost haikuwezekana maana hakuna sehemu ya kutype.What is happening there Wakuu.
Wako kwao Tanzania
Labda nayo ipo lockdown.
JF hakuna shida bhana
JF Tz kuna tatizo gani?
Yaani hakuingiliki kabisa
Mara ya mwisho ulifanya nini,isije kuwa wamekufungia kwa muda au ni lockdown
Tupo