Kulikuanga na team Kawasaki na DFHKM i think ata Team Mafisi ilitokanga huku

#6
Hehe .... naona @GeorginaMakena umekuwa role model kwa hii kijiji. Huyu ni mwengine anatamani kuwa kama wewe
Kush yaani have you been blind, hii chuki mob ni wivu tuu sio kitu ingine am a role model vibaya sana , atleast am adding value in the forum sio kuweka picha za ngono and homo sex styles, kusema kweli , am a role model, hata wewe unafaham, ni vile uwes sema juu lynch mob watakutusi hadi ufe
 

Bissy

Village Elder
#14
that place made me realize my full potential and i am where i am coz i got challenged to do better by villagers who were shining. I have alot of role models in this forum and may God keep them well mpaka admin na pia God asaidie mwovu shetani asiibe servers
 
Top