Kumbe Free Basics ilikua inaokoa watu

Kuwepo Kwa Jamiiforums kule freebasics kulisaidia wengi kuingia bila bando…lakini huku uhamishoni ni mwendo wa bando kwenda mbereee…

ha ha ha ni noma bila bando huingii huku utaishia facebook tu

Sema wewe ndio ilikuwa inakuokoa!
Kwanza umejuaje kama wengi ndio walikuwa wanatumia wakt huku wengi hawapajui bado

Binafsi sipendi kutumia Web nilikuwa natumia app kupitia tapatalk

Watu mnajua kupindisha…kwan ukijisemea ww kuna nn…sema ww imekuokoa ucjaribu kugeneralise…

Mambo yote TTCL karibuni nyumbani…

Nawapigia promo…utafikiri wananilipa mxiuuuu…!

Mkuu hao TTCL ni janga, kampuni ina 40yrs+ inatoa gawio la 1.5b na rais wa nchi anakwenda mubashara kuonyesha ni bonge ya mafanikio, huku serekali yake ikishindwa kutoa maelezo ya zilipo 1.5t za umma. Hapo mtu akuambie nchi ipo kwenye right track ni kutembea kufua mbele tu. Kibaya zaidi watu wanarukaruka kwa furaha kushangilia huo utapeli.

Noma saanaa…

Aisee

Vya bure huwa navipotezea
Nalog off

Mpenda kitonga kaja kusalimia wenzake

Nimejiunga kifurushi chao cha boom pack cha 2GB cha 1500 kwa mwezi mzima.

Japo speed yao ako ka konokono ila kwa kuperuzi humu yatosha.

Speed sio kivyoo…ila bora twende

Freebasic ilituweka mjini si uongo

daaah yani mwisho wa matatizo

Kwenye lile gawio walilotoa naskia una 10% mkuu

Mambo yamebadirika

Ndio Mkuu,sio kila homa ni maralia.

Aiseee.

Thubutuu…