Kumbe hii kijiji inatambulika! Kenyatalk imefika hadi kwa gazeti

Kitunguu ya admins imeanza kuiva

https://www.the-star.co.ke/news/2018/07/14/top-10-kenyan-websites-you-should-be-reading_c1782968

[ATTACH=full]183631[/ATTACH]

Hii ni photoshop… apan tambua

Naam

Huh? Why?

mchongoano.com ni gani hiyo

Mark Maish also used to be here unless it was an imposter.

Lazima ujiweke hapo number 9?

Who ever wrote the article is a talker… Fcukin siet! Knows the cronology history we have passed.

Upus…

Gazeti ni ya kufunga nyama.

Ni hiyo ng’ombe kichwa kibovu

Mnaona hiyo picha gizagiza ya Jirani akitype ‘tears of joy’

admin akinijenga kakitu naeza organise story na interview kwa news either KTN business or K24 business news… pia naeza organise kwa business daily ya Nation

Gayyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy

Tukatiane?! :D:D

Inamaana humo ni kutiana tu?

Mara nyingi cover ya kitabu inasadifu yaliyomo ndani

Owaaah huwa na story noma sana.

@Miwa niaje? Yule dadako vipi?

Id yangu sahihi ni Mwifwa.

Mimi sina Dada mkuu

Na bintiamu zako?