Kumbe hii mwaga ndani si nickname, it runs in the family

[ATTACH=full]236277[/ATTACH]

Gandani is the name of a person. Mwagandani is the same as [Omwana] Wa Gandani.

Acheni ujinga.

Wacha ujuaji ya peni tatu…

mwashetani ni mwana wa shaitan?

Makaburi Ni mwana wa kaburi???

Hiyo ilikuwa nickname. Alikuwa ana destroy Makaburi ya zamani akisema yamefanywa kama altars za miungu mingine… or something of that sort.

His real name was Abubakar Sharrif.

Haikosei ako na watoto wanajaza team A na team B respectively

Hivo ndio unataka tujue but kwetu tunajua huyo jamaa humwaga ndani

Sema vile wewe humwagiwa ndani

Upus. High grade upus

Na Mwaboza ni mwana wa banghi

@Mimi Huwa Namwaga Ndanii come see your name sake :smiley:

Mwakazi

Enyuuma wewe

Kumbaff! Mwagandani=pour inside

In that case, the talker should change his name to @ Mimina mwagandani

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D