Kumbe Tishio la Magufool ni kurejea kwa Tundu Lissu

#1
Nimefuatilia kutoka kwenye vyanzo nyeti.
-Eti wizi wa 1.5 trillion kwa ajili ya kuwanunua wabunge na madiwani chadema ni mpango mahsusi ili Lissu akirudi akose wenzake CDM. Juhudi kubwa zinafanyika. Nimemsikia chakubanga yule mwenye utapiamlo akisema eti CDM waende CCM kabla ya Desemba 2018 eti mwisho hawapokei tena.
- Juhudi kuu sasa ni kuhakikisha viongozi wakuu wanaishia gerezani ili tu Lissu asiwakute uraiani. Juzi mahakama ya rufaa imetii agizo la magufool la kutupilia mbali rufaa ya viongozi hao.
- Kila Magufool akijaribu kufikiria Lissu atarudi siku za karibuni hapati usingizi. Anajua akiita waandishi wa habari hakuna ukumbi wa kutosha. Magufool anajua kuwa wanapoingia kinyang'anyiro cha urais akipelekewa Lissu hana namna bali kuamrisha jeshi lichukue nchi. Anajua hasira atazokuja nazo hakuna mahakama za Tz zitakazomsimamisha. Anajua kuwa mahakama za kikanda zinamsubiri Lissu ili zimuadhibu Magufool.
Magufool ameanza kupata ugonjwa wa kuhara anapoona jamaa anaimarika. Hata kamati ya ufundi ya akina Bashite imeshindwa kazi.
Kihoooooro kitamuua!!
 
#2

Aiseee!!!!.... Magu'fool' ???!!! Au Mwendawazi... sorry
 
kyekomakubi

Senior Villager
#3
as l

ong as kesi yupo CJ forget kushinda, ameanza hata kuvuruga CA rules!
 
Top