Kumbe wanawake mna pesa, sasa kwa nini mnatusumbua?

Habarini wakuu, natumaini mnaendelea na harakati za kila siku katika kutafuta maisha.
Tuje kwenye mada…
Nadhani wanaume wengi tunajua adha ambazo huwa tunazipata kutokana na wapenzi wetu kutuomba hela kila muda. Simaanishi kuwa ni jambo baya lakini kila kitu kikizidi na kisiwe katika utaratibu unaoeleweka inakuwa ni shida tena kubwa sana.
Kuwa wakati fulani nilikuwa kimapenzi na msichana fulani ambaye pia familia yao na yetu ni marafiki. Na naweza sema kuwa mapenzi yetu yalizaliwa kutokana na ukaribu wa familia zetu. Sasa shida ikaja kuwa kila siku nilikuwa naombwa pesa. Tena sio pesa kidogo. Nijitahidi kujitutumua ili kuonyesha kuwa nilikuwa namjali ili pia asipate sababu ya kuniacha. Lakini kweli nikazidiwa maana ilikuwa too much, kila siku kufanya miamala. Nikaamua kuachia ngazi. Alinisumbua kidogo baada ya kuona simtafuti tena lakini baada ya wiki mbili hivi kila kitu kikawa poa, tukapotezeana.
Sasa hivi majuzi nilienda kuwatembelea nyumbani kwao na yeye pia nikamkuta. Mtoto yupo vizuri, anahudumiwa kila kitu na wazazi wake, anachokitaka anakipata tena kwa muda…sasa nikajiuliza ni kwa nini alikuwa ananisumbua sana mimi wakati mahitaji aliyokuwa anataka mimi nimtimizie mzazi wake anaweza kumtimizia. Kwa nini mnapenda kututesa…?

:meffi::meffi::meffi::meffi::meffi:!

baya sana

:meffi:

Kiswahili mingi na catwalk

Could read this …Even as coasterian at heart i have to admit reading swa ain for long paragraphs…
[ATTACH=full]175806[/ATTACH]

Reminds me of fasihi back in high school.

That word you used seems scary i will not gugor in fear of triggering some shit
[ATTACH=full]175808[/ATTACH]

No coastarian says, “Tuje kwenye mada.” Kwani mada imewekelewa wapi? Mezani? Ni kama vile tulizoea kusema, “Chini ya uongozi wako…” Maanake “Under your leadership…”

Thanks for the comments at least now I know not to waste my braincells reading this

Mkuu, habari za kwako?Hapa mjini tuasema, without efidensi ya picha ya mtoto mzuri iyo yote ni hekaya.
Halafu hapa hatugharamiki hadi pale tutakopo mlaza

cant read shit. musheeenzi uwe

Hakuna chakula cha bure, hata ule msosi wa home si unatumwaw dukani na sokoni kwanza?

:D:D:D:D

We mpe mahelaaa

Wadau kuweni wapole its only been a few days ata choo ya hawa makakabraza watz haijatoka kwa building na mshaanza
:D:D:D

Hawa kakabraza wametorokea huku will never be the same.

ametoka sehemu gani ya kenya?

Hahahaha nilitaka niwavuruge hawa majirani kwa lafudhi adhimu ambayo hawajaizoea…umzima bibie?

How comes none of you isn’t asking for the meaning of “miamala” as used in the post
Mdau tuambie.

Mods we need google translate at this rate…