Kumi Kumi Ten

Mid 90s before @digi was born i used to hawk womens clothes Mtaani. Wamama ni customer wazuri sana huezi lala njaa.
Used to buy my supplies at Mbakiko (Gikomba).
By 7 in the morning likuaga nishafika ndio nipate shine za camera then as zinapigwa pasi would go to kijee (Majengo) to buy miraa, ile yaitwa whisky sio ile takataka mugoks mnakula saa hii while washing eyes.
By 10 am i would be on my way home via Solidarity na hapo ndipo nilitaka washa fegi and had only one match stick and like you know stick ya mwisho hua haiwaki.
As expected ikazima and had no otherwise but to buy kiribiti. Scouted around for a kibanda lakini nikaona kajamaa kanauza vibiriti za gas kanaziuza kumi Kumi ten nikaona nibuy mbili but nikasleki kidogo instead gave him 10 Bob for one lighter.
He pocketed my 10 Bob and instead of kunipa lighter akanishow niongeze blue eti lighter ni 30 Bob. Yaani kumi + kumi + ten
Aiyaiyayaiya acha nicheke. Nikampatia blue then asked him hio pack yoote ya lighter yauzwa wapi. He was good enough to direct me and after buying on pack of 50 lighters i joined him hapo solidarity kuuza lighters kumi Kumi ten.
In two hrs had sold my 50 pack kaendea ingine.
Was buying at 10 Bob a piece and selling at 30 hehe. Do the maths
Whenever a customer would bring problems arudishiwe 10 Bob yake akikosa kuongeza blue we had 130kg of pure Chieth hanging around. Just one look from his mean eyes was enough to intimidate all and sundry. Malipo yake Ilikua ni glass ya chum huko kijee.
Next day was up early to my new hustle and this time kasimama country bus hapo kwa gate, Sema kuuza lighters. Biznaa was good, too good. Every day would change location ili nikamate wathii wengine na on gd days would sell upto 10 packs na nikaona nikijenga plot ya gorofa in 6 months time lakini as the saying goes nothing lasts forever. Hii Nairobi huwezi kula kitu pekeyako for long. 90% of hawkers in Nairobi come from Muranga na Sijui kaa waliitwa meeting huko coz after 3 weeks in all streets and lanes south of river rd kulikua watu wanauza lighters kumi Kumi ten na ndoto yangu ya kujenga plot ya gorofa before I hit 30 was put on hold
Pesa ilipungua ikabidi i fall back to my old hustle ya kuuza nguo.
Kama nilikuuzia lighter kumi Kumi ten tukutane nyuma ya tent nikurefund blue.
(Kuja na effidence ya hio refillable lighter)

:D:D:D:Dpoonder, business 101

:D:D:D:D:D… boss, uko na miaka ngapi zile biashara umefanya haziezi hesabika… ii hekaya imenikumbusha ile hekaya yako ya kuuza cassettes:D

ghaseer…hiyo hekaya sio mbaya

Meria niko na source ya njugu karanga. …nipe leads bro

Ton ngapi

9

Hii nugu imezeeka hadi inashuta vumbi.

:smiley:

hekaya timam

Hizi hekaya hunipa guts za kutafuta zaidi and appreciate each opportunity.

Ziko wapi

YAani hii nairobi unaitambua inside out?

Mwanza

Umeona vile Daddy alikuwa anahustle juu yako na vile wewe kazi ni half baked news burare fwakin!

Sawa boss

Inanikumbusha kuna huyu buda alikua anauza trao official za mtush back in the day nice ones so alikua anasema soo na mia ,soo na mia siku moja went there na soo ile matusi nilipata wacha tu

:D:D:D:D:D Why do people do this seriously. You start something good with the hope of making it big time then suddenly is busy doing your thing, better than you.

Ngui. Funda. Itina. Heke cia nûgû. Gicuthî kîa ngûrwe! Mlikula pesa yangu na ilikuwa pesa ya lunch. Mûrohîa NDA mûgîcûnga!

Kiino Kia njagathi.
Sema ngapi nikurudishie