Kuna EPL Tuesday & Wednesday

Place your predictions here:
https://www.kenyatalk.com/index.php?xfsoccer/matches/premier-league-2017-2018.17/bet&matchday=14

Leta mechi tuone

Kiyana wa Patrick Kluivert ni mambo byad

[MEDIA=twitter]934811279453073414[/MEDIA]

Defence imelala, akuje afanye ivo premier league nimtambue

Defense imedoze kwanza hiyo bao ya tatu. But ninja got talent

kijana ya Beckham alilemewa na arsenal?

Kijana ana show potential but haina haja ya kumhype sana.Tumeona wengi at this stage na walienda wakakua mandanzi ukianza na akina Martin Odegaard, Gotze, Wilshere

Fellaini and Mkitarhyan did not travel with the rest of the squad to vicarage road.Lingard and Blind have been recalled back to the team

Schedule inakaa hivi ya leo na kesho[ATTACH=full]141866[/ATTACH] [ATTACH=full]141865[/ATTACH]

hii apk unatumia ni gani?

TheScore

Manchester leo wanafunguliwa server na watford .

Sioni vile tottenham watashindwa wapoteze points zaidi lakini pia Leicester sio warahisi… Hapo GG inaweza make…

Leo games ni ngumu. Each game can go either way.

Pia Suarez alikuwa anafanya hivi akiwa Ajax. Probably there are some people who doubted him

I find this kid absolutely uninspiring. Maybe he’ll change my mind later. But he’s such a copy paste of this dad.

Kuna wa Zidane anaitwa Enzo, he has potential.

Is football prowess genetic? Ama hawa watoto are forced to be soccer players by their dads

I think the environment contributes, because when you have a famous dad he might take you to some of those matches halafu the desire to be a footballer inaingia tu kwa system.

vardy ashaweka moja!