Kuna haja ya siasa za kistaarabu tena?

Hili ni swali kwa wanachama wa chadema! Tumeshuhudia kwa miaka mingi sasa hasa awamu hii tukitengeneza uchaguzi kiini macho! Huko kinondoni tuliona na kushuhudia mauaji ya wanachama na viongozi hata mwenyekiti alikuwa target na risasi ikaishia kumuua mwanafunzi Akwilina wa NIT. Tumeshapashwa habari na tunaamini ilikuwa kweli kumbe yule mfyatuaji risasi alikuwa askari wa JWTZ Deo Siwalile aliyevishwa combat za FFU.
Arusha juzi tumeona Lema akishambuliwa mbele ya OCD bila msaada. Kwamba alitemewa mate na kupigwa mbele ya OCD.
Ilitokea miaka iliyopita huko Ilemela mwanza mbunge wa zamani Aines Kiwia alicharangwa mapanga mbele ya polisi.
Diwani wa Arusha aliyepigwa visu amelazwa hospitali eti aliyempiga anatafutwa!!
Hata huko Buyungu matokeo yamebadilishwa kwa nguvu ya dola.
Matukio ni mengi sana kipindi cha uchaguzi na ukifuatilia yote hakuna hata tukio moja mwanaccm atakamatwa na hata kutiwa hatiani.
Gari la CCM linaendeshwa na dereva polisi na wanaccm wako na magwanda yao kwenye magari ya police.
Damu nyingi za wapinzani zinamwagika kila uchaguzi na sijaona wala kusikia pole kutoka serikalini.

Ninaomba tutafakari pamoja:
Wakati wenzetu wamejikita kwenye ushindi kwa namna yoyote sisi tupo wastaarabu tangu zamani. Wametupa viashiria vyote kwa mfano- Bao la mkono,-- Nape, Ushindi hata kwa fujo jimbo la Arusha ni lazima-- Mrisho Gambo
Juzi Nape katoa kejeli nyingine-- Wakati CCM inabadilisha gia kila wakati, Akina Mbowe wako na Gia moja toka kipindi cha mwinyi. Usemi wenye upana ule ule mbinu za ushindi kwa namna yoyote!
Swali la msingi: Je kuna haja ya kuendelea na ustaarabu? Tuuawe kila uchaguzi na kura zikwapuliwe kwa nguvu??? Maoni tafadhali

Hata wao hawapendi kufanya hayo wanayoagizwa kuyafanya…

Ila system ndiyo inataka wafanye hivyo… hawana namna… kibaya sasa ukikataa wewe kufanya wenzako watafanya…

Cc: @Mahondaw

Jiwe nchi ameitia mfukoni mwake. Kwa haya yanayoendelea baada ya uchaguzi wa 2020 tutaletewa kura ya maoni tu ya jubadilisha katiba na kumpigia tena kura. Yule jamaa akitoka pale anaingia kaburini.

Suluhisho ni msituni tu basi!

Bado watanzania eti ni wapebda amani

DAWA NI KUWA NA MA BOKO HARAMU

naona Lugola mzee wa matamko kiiimya,

Hapa kinachotakiwa ni jino kwa jino bila hivyo usenge huu utaendelea milele

Amani gani Sky, ni umbuzi mbuzi wa watanzania

Tuongee vizuri na Mwalimu, lile kombora alilompiga nalo Mtulia wapigwe wote watako Iva kura 2020

Kitakachotokea hivi karibuni ni rahisi sana kukiona hata kwa mtu mwenye akili sawa na ya kuku. Magufuli na genge lake wanajidanganya kuwa nguvu zinafanya kazi wakati wote na pia Watanzania wote wataendelea kuwa kama ambavyo wamekuwa siku zote.
Mtu alie na cha kupoteza huwa na uoga wa kuthubutu kufanya kitu kinachoweza kusababisha apoteze hicho kidogo alichonacho. Ccm sasa wanalazimisha/wanapora uchaguzi huku wakilindwa na polisi na jeshi, post 2020 watahakikisha hakuna mbunge wala diwani kutoka upinzani. Kukosekana kwa upinzani bungeni kutaondoa nafasi ya mawazo mbadala, na kwa kuwa ccm huwa wanapiga makofi na kuunga mkono kila waambiwacho bila wao kufikiria basi jiwe atazidi kufanya atakalo bila kuambiwa chochote na mtu yeyote. UCHUMI UTAKUWA NI BORA YA ZIMBABWE YA MUGABE.

Then wataanza kupora mali binafsi za walio upinzani au wanaodhaniwa kuwa wapinzani. Na kwa kuwa mahakamani sasa hukumu zinatolewa kwa mujibu wa maelekezo kutoka kwa Magufuli hakutakuwa na fall-back kwa waathirika. Matokeo yake ni kuwa hata bwege mtozeni wa mwisho kabisa atagundua kuwa kuwa muoga hakuna maana tena; maana hana tena cha kupoteza ILA ANA CHA KUPATA. Sihitaji kueleza kitakachotokea baada ya hapo.

Wenye akili tuanze kuchukua hatua leo. Anza na kutotoa ushirikiano hapo ulipo ili kufupisha kipindi cha mabadiliko ambayo NI LAZIMA YATOKEE. Usitoe ushauri wa kujenga (after all hawatausikia anyway), tuwaachie wafanye walitakalo. Ila jenga mazingira ya uchumi binafsi. Fungua account kwenye benki itakayokuwezesha kufanya transactions mahali popote duniani bila control ya BOT. Kuna siku itakuja kukufaa

Mkuu hii dawa imeingia mahala pake!!! Jiwe njoo soma huku~~

Nyie endeleeni kubwawaja mitandaoni, watu wana execute on the ground with tangible results, 2020 ndio mtaelewa somo vizuri.