but at times unapata mtu ame block half of the Kijiji so mtu haoni nini mwingine amepost.
pia wengine wameblock moja wa hao wenye wamepost, so post kwao ni moja tu iko.
kuna siku pia nili weka thread similar ni ya mwingine, nikidirect mwenye amecomment kwa original post aka sema haja ona hiyo juu ameblock huyo poster. so ilibidi thread ibaki.