Kuna Watu wangu Watatu tu siku nikibahatika kukutana nao lazima nizipime ' akili ' zao na Rula

[FONT=courier new]1. Mkemia Komwe.
2. Aliyetoa Kibali Kampuni ya Mabasi ya Mwendokasi yawe pale Jangwani.
3. Aliyetoa ’ amri ’ mitandao ya Kijamii ifungwe na itungiwe Sheria Kali hadi JamiiForums sasa haipo tena hewani na Wadau wake tunataabika tu sasa hadi huku ’ Ukimbizini ’ kwa Wakenya.[/FONT]

[FONT=courier new]Na Wewe karibu umtaje Mtu wako ambaye una hamu upime akili zake kwa Rula kama Samaki wa Luhaga Mpina kwani nahisi kuna wengine ’ akili ’ zao hata nusu Sentimita hazitozidi ama hazizidi kabisa.[/FONT]

[FONT=courier new]Nawasilisha.[/FONT]

Mwijage waziri muongo, bashite, Jiwe, mwigulu, lubuva, jecha.

[FONT=courier new]Wote uliowataja hapo nawafahamu Mkuu / Mwanakijiji ila huyo sijui ’ Jiwe ’ simfahamu kabisa na tuanzie hapo Kwanza. Ni nani huyo labda?[/FONT]

Ha ha ha komwee maana yake nn mkuu

WALIOKATAZA KUJITOA UANACHAMA NSSF KWA WAAJILIWA WA SEKTA BINAFSI{ MIKATABA YA MIAKA 3}

Malaika mfunga mtandao, PoURT

[FONT=courier new]Usinitafutie ’ matatizo ’ tafadhali bado nahitaji kuishi muda mrefu ili nizidi kuzifurahia ’ Mbunye ’ mbalimbali za Kitanzania na za Afrika ya Mashariki na Kati, Afrika na Duniani kwa ujumla sawa?[/FONT]

TFDA + TCRA wanaoacha vipodozi hatarishi vikiuzwa instagram. Vipodozi visivyoonyesha viambata (Ingredients) vilivyotumika kuvitengeneza.

akili zangu zenyewe sizielewi elewi, ntaanza nazo

mimi jiwe lazima nilipime maana siamini akili zake km zipo sawa.

Baba yao tu akili zake zikipimwa taifa lazima litozwe faini ya laki tatu

Jokete

Huyu mzee wa kukenua aliyetuachia msala huu.

Mkuu wa Malaika, Bashite hao lazima

Namba hizo zote zinamuhusu yule Budagala wa soko la feli

Mwendawazimu.
Naomba niishie hapo

Mzirankende…tehteehhh

:p:p

Uliowataja wote naunga mkono hoja, naongezea na “chakubanga” mwenda pole pole

H

Hahaha