Kunguru hafugiki

Leo ndo nimeamini kuwa wahenga na wahenguzi hawakukosea waliponena kuwa Kunguru Hafugiki. Ni hayo tu kwa sasa.:frowning:

1024

Leta hekaya

Kula strawberries[ATTACH=full]227942[/ATTACH]

Just accept and move on mblo…

Ulichengwa kubali, kudinyiwa bibi siku hizi ni kawaida kama news za corruption

sio bibi wasee. Bt mi siezi date dem poko.Naogopa ukimwi.

Kwani unanyesha? Fungua roho kijana.

Porojo

Must be hurting big time. It is good to share the juicy details. People could learn from you, u know.

ukichengwa tulia

What a coincidence, nime confirm sahii asubuhi :D:D:D

What gives?

Hehe…Pole bro.

@Karoga kuja utupee signs and symptoms of a kunguru

I dont understand your question bro

Ni sawa KTalk ilinichanua kitambo.

utapata wenye wana comment “ukichengwa tulia” hukuliwa mabibi/madame wao proper makunguru walitushinda hii game

No wonder ulichengwa kijana…hii thinking ni ya 1872BC

sawa ndugu.wewe penda poko na ukimwi.

… wewe @It’s Le Scumbag kama unapenda mapoko or madem wa jamii , speak for yourself…