Kunguru kumeza

K

Kimakia

Guest
#1
I am somewhere minding my own business.Nanywa concotion...kahoma kananipeleka mbio wacha tu...Sasa on the next table jamaa ni teetoller,anakunywa dasani water,kunguru naona imemeza hizi wine za packet tatu (inajiita caprice).Jamaa kuusweat hadi nimesikia akimwambia mrembo asinywe ingine but she want 2 more.
Sijui nimwambie aongeze yeye hizo mbili kwa mbiĺlo yangu
 
K

Kimakia

Guest
#9
Umelewa Boss!!
Na hiyo mahali haina music Ati hadi unaskia jamaa akiongea? Ama umeread his mind?
Ni open place kwa ka uwanja.Mugithi inacheza kwa umbali halafu kuna kajiko ka moto.Mimi na pombe hapana,pia pub iko na music loud hutawai nipata huko
 
K

Kimakia

Guest
#20
that chick has had too much kuna time I bought a girl caprice sweet In a club that how went crazy akiniambia ati nimespike drink yake ndio nikamue had to wait till the next day after she sobered up nianze kuomba from square one
Iza things men go through
 

Top