I am somewhere minding my own business.Nanywa concotion…kahoma kananipeleka mbio wacha tu…Sasa on the next table jamaa ni teetoller,anakunywa dasani water,kunguru naona imemeza hizi wine za packet tatu (inajiita caprice).Jamaa kuusweat hadi nimesikia akimwambia mrembo asinywe ingine but she want 2 more.
Sijui nimwambie aongeze yeye hizo mbili kwa mbiĺlo yangu
Mind your own business. I hate people who go to the pub alone kazi ni kusorora wengine…nkt! Find a life!
Hivi ndivyo shetani hukunyemelea. Mwambie tumemwonea 18 side yake.
Jaribu
Go right ahead buddy
sema unakunywa KC coconut wacha kutummia Osungu mingi ati concoction
Ngamia niaje…hii ni mix ya ginger,kitunguu saumu,ndimu na asali ya kui nice…Nameza inaingia hadi kwa sinus
Umelewa Boss!!
Na hiyo mahali haina music Ati hadi unaskia jamaa akiongea? Ama umeread his mind?
Ni open place kwa ka uwanja.Mugithi inacheza kwa umbali halafu kuna kajiko ka moto.Mimi na pombe hapana,pia pub iko na music loud hutawai nipata huko
Hivyo ndio mwanaume huslice mtu dame.
Ni homa gani imekupiga?
ati caprice amekunywa ngapi? hio kitu hubeba mtu haraka sana
Utalimwa!!!
Then hii ni kunguru ya ukweli coz ya nne nadhani ako nusu
and when the dude ferks the stupidly drunk chic itakuwa rape case?
caprice ya packet ile liter moja?
that chick has had too much kuna time I bought a girl caprice sweet In a club that how went crazy akiniambia ati nimespike drink yake ndio nikamue had to wait till the next day after she sobered up nianze kuomba from square one
Noma sana, umesema umeenda kukunywa concoction ya homa kwenye klabu ama hii ni chuom gani hii?
[QUOTE="Ka-Buda, post: 1332578, BUY HER LEGEND …nkt! ![/QUOTE]
FIXT
Iza things men go through