Kunguru kuona 4wheels

jmoy

Village Elder
#1
Haka ka kunguru nilikauliza jina kakajibu, 'bibi wa ....'. Nikaitisha namba nikapata tackle. Sasa juzi nikapita hapo kakaniona na 4wheels kakaniuliza kama ni yangu. Beste yake (galdem) akakajibu, 'kwani unafikiria watu wote ni msoto'. Third time kupitia hapo ni haka kakanisalimia ati, 'utaki ile namba?' :D:D:D:D

Sasa haka nikafanye aje wazee wa kijiji?
 
Last edited:

Kdawg254

Village Elder
#2
Haka ka kunguru nilikauliza jina kakajibu, 'bibi wa ....'. Nikaitisha namba nikapata tackle. Sasa juzi nikapita hapo kakaniona na 4wheels kakaniuliza kama ni yangu. Beste yake (galdem) akakajibu, 'kwani unafikiria watu wote ni msoto'. Third time kupitia hapo ni haka kakanisamilia ati, 'utaki ile namba?' :D:D:D:D

Sasa haka nikafanye aje wazee wa kijiji?
Ati kii
 
Ken_Sarro

Village Elder
#5
sounds made up but if its true its funny. Tulisema bibi ya mtu hata na tenfoot pole ondokea. Mwambie I have maximum respect for other people's wives.
Haka ka kunguru nilikauliza jina kakajibu, 'bibi wa ....'. Nikaitisha namba nikapata tackle. Sasa juzi nikapita hapo kakaniona na 4wheels kakaniuliza kama ni yangu. Beste yake (galdem) akakajibu, 'kwani unafikiria watu wote ni msoto'. Third time kupitia hapo ni haka kakanisalimia ati, 'utaki ile namba?' :D:D:D:D

Sasa haka nikafanye aje wazee wa kijiji?
 
jmoy

Village Elder
#8
sounds made up but if its true its funny. Tulisema bibi ya mtu hata na tenfoot pole ondokea. Mwambie I have maximum respect for other people's wives.
Ivyo ndo nitasema. Not made up. Kanauza esto shop napitianga jioni after job to get house supplies. Kayellow yellow karipe ka huko miraa ndo cash crop hata mdomo unashidwa na Swahili.
 
Top