Kunguru kuona 4wheels

Haka ka kunguru nilikauliza jina kakajibu, ‘bibi wa …’. Nikaitisha namba nikapata tackle. Sasa juzi nikapita hapo kakaniona na 4wheels kakaniuliza kama ni yangu. Beste yake (galdem) akakajibu, ‘kwani unafikiria watu wote ni msoto’. Third time kupitia hapo ni haka kakanisalimia ati, ‘utaki ile namba?’ :D:D:D:D

Sasa haka nikafanye aje wazee wa kijiji?

Ati kii

Picha,thermal image,Ultrasound,Sauti yake,Pictorial,Sketch.Leta evidence yeyote.Evidence yeyote ndio tunataka ama uketi paleee…

unakuja hapa kutwambia vile unawindwa na malware?

sounds made up but if its true its funny. Tulisema bibi ya mtu hata na tenfoot pole ondokea. Mwambie I have maximum respect for other people’s wives.

[ATTACH=full]244993[/ATTACH]

si awache tu kuenda enda hapo kama mtu hana kaasi

Ivyo ndo nitasema. Not made up. Kanauza esto shop napitianga jioni after job to get house supplies. Kayellow yellow karipe ka huko miraa ndo cash crop hata mdomo unashidwa na Swahili.

pea yeye tips on how to be properly idle

Leta CV nione kama unaweza pata job one of my tenderpreuner companies

rudisha gari ya wenyewe alafu anza fresh

Chaguo ni lako. But this can only end bad for both of you nangojea kuwaona kwa tarifa habari.

Wenye hawana moja ndo uongea hivi - ati mmmmmh… tunajua hio gari si yake ni ya kampuni

Am not boarding then

Heat signature

Mwalimu amepewa sweep.:smiley:

huyo beshte yake amekukufia mkule kwanza alafu urudie huyo bitch.

Too many sti’s around.
Am even afraid to bang with a CD.
Getting poosie paranoid.

Problem i do not know why beste ya all cute galdems ni magogo

Lakini ktalkers Hua Kawasaki kuskia numerous iko na gari mzuri… hii with nilitoka wapi?