kush yule mnono Retired Hekaya Master Jan 10, 2021 #2 Jan 10, 2021 #2 Hehehe ..... kuzungushwa kama kikapu ya sadaka. I don't know why am laughing.
captain obvious Village Sponsor Jan 10, 2021 #4 Jan 10, 2021 #4 Shiro anatype kama Nick...sorry, kama mwanaume? Ama ni wale madem hardcore wa ghetto.
K Karoga Village Sponsor Jan 10, 2021 #5 Jan 10, 2021 #5 ......kikapu ya sadaka ,that's hilarious!!!!!
Wanaruona Village Sponsor Jan 10, 2021 #7 Jan 10, 2021 #7 Huyu shiro ana text kama kunguru namezea mate even though amenizungusha kama chapati za kibandaski.
NacumWalai Village Elder Jan 11, 2021 #8 Jan 11, 2021 #8 Admin hawa watu wa facebook unawakubalisha kwanini
PHARMACY CHIEF PHARMACIST Jan 11, 2021 #9 Jan 11, 2021 #9 kush yule mnono said: Hehehe ..... kuzungushwa kama kikapu ya sadaka. I don't know why am laughing. Click to expand... Kush nguruweste niaje? Umefufuka ama dio umetoka kamiti?
kush yule mnono said: Hehehe ..... kuzungushwa kama kikapu ya sadaka. I don't know why am laughing. Click to expand... Kush nguruweste niaje? Umefufuka ama dio umetoka kamiti?
kush yule mnono Retired Hekaya Master Jan 11, 2021 #10 Jan 11, 2021 #10 BADASS said: Kush nguruweste niaje? Umefufuka ama dio umetoka kamiti? Click to expand... Poa sana mujamaa, nko rada
BADASS said: Kush nguruweste niaje? Umefufuka ama dio umetoka kamiti? Click to expand... Poa sana mujamaa, nko rada
slevyn Village Sponsor Jan 11, 2021 #11 Jan 11, 2021 #11 the script flows too smoothly to be two people... ama they synchronized??