Kunguru za bongo aki mko wapii

Hii lugha gongana na wenzetu waKEIII inanichosha but I’m happy and absolutely free, tafadhali wakenya andikeni kiingeresha unajui aki nikiwa natafsiri iyo Swahili yenu sielewi ata kidogo, mfano bibi, kumbe ni mke sisi bibi ndi grandparent hafai hata kuongelewa kwenye mambo ya sex, sabnyie mkisema una furke bibi yako minnadhani nna furke mama yake mama…wtf

Kiswahili chao kimekaa kisengerenyuma

Tulizaa mshono bob…unatokea wapi kwanza lang’ata ama?

Natoka ngarinaibor mpakani

Wewe ni raiya wa Tz? Kiswahili ndio hatukatai mnakijua lakini mbona watanzania wanapenda kufikiria pole pole kama keep lefti?

:D:D

Wewe ni msenge sana, unafikiria mambo ya kufira nyanyako?

Raia wa TZ na Kenya, nimeishi kote hapo Himo na cross border fastaaa, Tz people hawafikirii slow wapo honest tuu labda ukutane na matapeli kama makufuli

Sasa ukisema nyanya mimi ninajua ni kiungo cha kupikia mboga, unaona lugha gongana?ukisema bibi nitajua ni mama yake mama/baba hiyo swahili yenu mmeitoa wapi? Google nyanya=tomato

Sasa hivi mie niko apa usa river na nimeshikwa na hawa malaya polisi wa uku ati nafaa ni stop kwa zebra crossing na nieke hazard… then gari ya tz ikapita mbio mbio the same same spot nilikua na hajaulizwa any…

Ngombe ya magufulistan, shida yako ipi? Shoga pia twaskia hapo kwenu morogoro ni best friend?

Uzuri hapa bongo shoga ziko mbili au tatu tuu, Na zinajulikana james delicious na katotolee, tuhesabu hapo mombasa, all men are gay…mnaishije

Tunatembea na ngao ya kimaasai tukiwa tumeshikilia kudefend kunyi; just incase…mbaffff!!

[ATTACH=full]178365[/ATTACH]

Naona zile ligi tulizozizoea za jf ndo zimefika humu. Ni ajab wallahi.

Wakosoe mkuu, ndio angalau warekebishe walipokosea. Baadhi ya hawa ndugu zangu huwa wana kauli flani, eti kiswahili sio mdomo yetu.

Okay okay let this thread not distract us from the fact that miguna miguna is still a criminal

Hahaha :smiley: Jaribu kukaribia hapa. Subutu! Kama hutang’atwa kidole basi utatiwa kwenye kwapa la mmoja wao hadi uzirai.

Aisee!.. :eek::oops::smiley:

Vipi mkuu, upo eeh? Aisee tayari ushakuwa mwanakijiji mkongwe? :smiley: Hiki kijiji buana!