KUOSHWA KWA DAMU YA KONDOO

What does it mean

Wariahe chinga, umeosha mcooshte Leo nikuitie @T vercetti akupe haki yako?

Washed by the blood of Jesus Christ. Yaani saved and fully delivered from sins.

Mtu kama huyu, unamjibu nini?

Labda ataguzwa aokoke awache upii

Multihandle

What does subahana watala mean

You are wrong @Chiefkiumbe is a chieth from Embu,he got such a good wife who knows how to play chamlindetee but the guy still nyemeleas their mboch.
The other one is from Mathira.
@ChifuMbitika ule fashion fine gal alienda wapi?.Nioshe macho tafadhali

Yule dame aliolewa. SAA hii ako na mtoto mmoja na ball ya pili.

Aiii kwani hangojei kupona damages za mimba ya kwanza…ama aliolewa na jamaa fossil ilitaka kuzalisha haraka haraka juu ya kupitwo na wakati

Aliolewa na mzae fulani amekafunga. Sasa yeye anakaa tu kwa nyumba na kulishwa vifiti. Lakini juzi aliniambia akizaa wa pili ataweka break kwanza aingie mambo ya bizna.

Shepu bado iko?

Hii kitu bado inakuuma?

Kamenona kiasi

Kama hukukula hako karembo, Naeza achia wewe kondoo zangu ulishe.

I can’t divulge that information for now

:D:D

Ati nani wa Tala? Hio jina si ya kikamba aiseh:D

IT MEANS AN IMAGINARY OLD WHITE MAN IN THE SKY GATCHU!