Kupanda ngazi!

Status
Not open for further replies.

Mwenyewe

Senior Villager
#1
Ok, I started as a "New Villager" then baadaye nikawa "Villager" na sasa naitwa "Senior Villager!" I know the new comers wanashindwa watafika lini hapa nilipofika? Ni bidii bratha....zidi kutoa mchango wa maana, sio kuropoka. @admin...baada ya Senior Villager nitakuwa nini? Cheo kikubwa cha mwisho ni kipi? Na kina mazuri yapi?
 
Last edited:
U

uwesmake

Guest
#10
MWENYEWEE NAONA UKO NA MDOMO REFU SANA NA HAKUNA COOMER HATA MOJA UMEPOST,


BUT UKWELI TLG YAFAA AKUWE VILLAGE CHIEF BY NOW
 
Status
Not open for further replies.

Top