Kupigwa ban jf huwa kukoje

Wazee wenzangu humu salaam
Nimejaribu kuingia jf asubuhi hii nimeshindwa, sasa sijui nimepigwa ban au tatizo lingine, ila ninauhakika sijawahi kusema mbaya kiasi cha kupigwa ban

Sijawahi kupigwa ban ila ninavyojua ni lazima wakutumie ujumbe kukueleza kuwa umepigwa ban na kwa muda gani… Inawezakana tu kuna problem fulani kwenye account yako…

Mbona hakuna kitu nimeifanya,na jana jioni niliingia, basi itakavyokuwa ngoja nitulie hapa

Ni Kweli nimepigwa ban ila sijui sababu, nimeona kwenye profile yangu, wapuuzi kweli jf

Mie sasa hv huko ni mpenzi msomaji tu kila nikijaribu ku login naambulia kuona user Id yangu tu, hakuna cha jukwaa la siasa wala nn.
Nimepata hisia nimekula ban, lakini sijui kosa langu. Nimekubali acha niwe hivyo hivyo tu.

Jf imekuwa ya kipumbavu sana siku hizi wanapiga ban hovyo

Yaani Wanaudhi sana, kwa nini usimjulishe mtu kama kakosea, tunaenda tu kwa kuwa tumezoea

Sijui wanataka tuwe tuna comment nini sasa, sio siri wamenikera sana

Kumbe tuko wengi aisee.mimi mwenyewe siwezi tena ingia kwa account yangu.hadi nikadhani labda hadi nijisajiri upyaa kama mello alivyopendekeza

Mimi siwezi kulog in kupitia app lkn nikipitia search engine ndo inawezekana sijui shida ninini.

Tuko wengi mkuu, tuendelee kuinjoy humu side chick tu, ndo maana wanaume huwa wanapata michepuko ya kudumu sababu ndo hizi kero za njia kuu

Labda ndo ban yenyewe hiyo mzee

itakuwa uliitaja kenyatalk kule.maana mimi wamenipiga ban kwa kosa hilo. nikacheka sana. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kuna BAN zinatembea hilo ni kweli na pia walishatoa muongozo kwamba JF App ipo kwenye maboresho kwa hiyo tutarajie hitilafu za hapa na pale mpaka pale itakapotengemaa…

Cc: @Mahondaw

Watakua wamekuonea kwasababu wanajua upo huku na kule… tehteehhh

Inawezekana kabisa mkuu, maana huwa siachi kuitaja panapostahili

Ni Kweli kabisa ila kupiga watu ban bila sababu za msingi sio hitilafu mkuu ni udhaifu mkubwa

Na mimi Siondoki huku na wala sitajificha

Wakikuona lazima ukule ban siku yenye wakirudi kwa mahewa.
Karibu tubonge pande hii… tehteehhh

Naona siku hizi waongea kikenya, Mdomo wangu umebaki wazi walah