Dismiss Notice
You cannot view some content because you are browsing this site as a Guest. CREATE AN ACCOUNT to enjoy access to all content.
 1. Tommy Lee Sparta

  Tommy Lee Sparta Village Elder

  Kuna vile heka ya @pamba imenikumbusha vile kuna massai walikuwa wanapitia apo job kama wamebeba kibuyu iko na mchuzi inakaa red ..na kila cup wauza 10 bob....ukimuliza ni ya nini anakushow inasafisha tumbo..

  Nilikuwa naona watu wakichapa shot ya iyo fluid na wanaendelea na job kawaida...
  Sasa siku moja massai aka insist kijanaa nunua leo bana usafishe tumbo hii kitu mzuri bana

  Another thing mimi tangu nikiwa mdogo choo kubwa sikuwai enda kwa public toilets ata nikiwa chuo..

  Sasa iyo siku sparta akawekewa cup moja nikachapa flash...it was not that bad..naye massai akaongeza half kikombe hii nimekuongeza...sparta naye akachapa flash na akalipa eroo na kuendelea na kazi...

  Sasa shida ilianza after like 30 minz tumbo ika anza kuguruma ..nika assume ikaguruma tena...

  Nikasema nitajikaza hadi jioni nikifunga niendee choo home juu siwezi enda facilities za job..

  Apo ndio sparta was wrong...
  Kuguruma ikazidi nika anza kuona hii dawa ya ndao sio mchezo...sasa pressure ikazidi kwa tumbo na ata kutembea ilikuwa shida....halafu sikuwa natakaa ku fart juu naogopa aibu...

  Ilifika point nikafunga mlango job ata comp sikuzima nikashow jirani nakuja..nikashuka stairs kama mtu amevunjika mguu na nikaingia tuk tuk hadi kejani..

  Motion ya tuk tuk ilisaidia tumbo ikatulia kiasi...nikafika kwa gate nikalipa msee na nika anza safari hadi first floor....lakini kufungua tu ivi mlango naskia kublow..after kufungua ivi mlango kufungua mlango ya choo kushukisha trao nikaskia sauti ya ferrari....ata sikuwa nimebend... :(

  It has so much force hadi kwa dirisha ya choo..
  Wall mzima ilikuwa imejaa kinyesi bana....

  Najaribu kutoka naskia kurudi tena...it was hell

  Hakuna vile niliweza kurudi job :(

  Halafu the cleaning ata sikuweza iyo siku ..vile nilipelekwa na iyo dawa siwezi jaribu tena ... Na tissue tatu nilitumia..kunyamba took me 2 weeks kupata courage to try

  If l went to choo za kanjo sijui igekuwa aje na embarrasement :(
   
 2. It's Le Scumbag

  It's Le Scumbag Village Elder

  Your shit hit the fan. Literally. Hadi window ya choo...:D
   
  Mrs4thletter, Giggz, Luther12 and 6 others like this.
 3. stunner

  stunner Village Elder

 4. chief lieutenant

  chief lieutenant Senior Villager

 5. Alpha_Dog

  Alpha_Dog Village Elder

 6. Abba

  Abba Village Elder

  naona wall painters wa choo za primo na seco ni wengi . nice one though
   
  gashwin, pseudonym and Eng'iti like this.
 7. Tommy Lee Sparta

  Tommy Lee Sparta Village Elder

  Ilikuwa noma bana ilifika hadi kwa darri :(
   
  pamba and pseudonym like this.
 8. Tommy Lee Sparta

  Tommy Lee Sparta Village Elder

  Ni Graffiti with an Artistic Touch :)
   
 9. It's Le Scumbag

  It's Le Scumbag Village Elder

  Involuntary Artistic Smelly Touch...
   
 10. dude

  dude Village Elder

  :D:D:D
  Una bahati unaishi peke yako!
  Hiyo dawa ya Maasai si mchezo. I read here mwengine alipatikana hapo thika flyover. Made me avoid it at all costs
   
  Giggz, Luther12 and Nefertities like this.
 11. Tommy Lee Sparta

  Tommy Lee Sparta Village Elder

  Swali ile mimi huliza what do they use to prepare....juu iyo kitu nikama poison juu unakauka lips mbaya ata uki hydrate na maji
   
 12. dude

  dude Village Elder

  Its best usijue. Im suprised u managed the journey home. Huyo driver angekuuzia hiyo tuk tuk if u repainted it!
   
  Giggz, Grundy, byro and 1 other person like this.
 13. Abu-khara Al-toilete

  Abu-khara Al-toilete Village Elder

  kazi yako ni kujaza sewage tu.
   
  Tommy Lee Sparta likes this.
 14. Tommy Lee Sparta

  Tommy Lee Sparta Village Elder

  Igekuwa disaster bana

  Kuna matatu nilipuke kama nimetoka dunda niko mlevi

  Makanga akadai soo mbili ya carwash naye sparta kichwa ngumu...makanga akakataa nitokee

  Sparta alitulia na ulevi yake akafungua dirisha pole pole stage yangu nikachomoka kwa dirisha na kuwasho middle finger
   
  Grundy likes this.
 15. inzhener otmetka

  inzhener otmetka Village Elder

  Hiyo force haikukuinua from the ground?
  You know action and reaction...mambo ya Newton.
   
  Luther12, Grundy, Zee and 3 others like this.
 16. Deorro

  Deorro New Villager Staff Member

  Kwa hivyo Tommy hiyo day haukuburn mamovie?
   
 17. Mathaais

  Mathaais Village Sponsor

  Hii ni story ya umeffi.
   
 18. Tommy Lee Sparta

  Tommy Lee Sparta Village Elder

  :D kwani ni airballon
   
  gashwin, Nefertities and pseudonym like this.
 19. Tommy Lee Sparta

  Tommy Lee Sparta Village Elder

  Siku burn na vile nilikuwa na order za ngwati
   
  pseudonym likes this.
 20. Eng'iti

  Eng'iti Village Elder

  Na hua napewa karibu ya daily, zingine nambiwa nitengenezewe custom zangu pekeangu nimekataa miaka mbili sasa!