Kusafisha tumbo

Kuna vile heka ya @pamba imenikumbusha vile kuna massai walikuwa wanapitia apo job kama wamebeba kibuyu iko na mchuzi inakaa red …na kila cup wauza 10 bob…ukimuliza ni ya nini anakushow inasafisha tumbo…

Nilikuwa naona watu wakichapa shot ya iyo fluid na wanaendelea na job kawaida…
Sasa siku moja massai aka insist kijanaa nunua leo bana usafishe tumbo hii kitu mzuri bana

Another thing mimi tangu nikiwa mdogo choo kubwa sikuwai enda kwa public toilets ata nikiwa chuo…

Sasa iyo siku sparta akawekewa cup moja nikachapa flash…it was not that bad…naye massai akaongeza half kikombe hii nimekuongeza…sparta naye akachapa flash na akalipa eroo na kuendelea na kazi…

Sasa shida ilianza after like 30 minz tumbo ika anza kuguruma …nika assume ikaguruma tena…

Nikasema nitajikaza hadi jioni nikifunga niendee choo home juu siwezi enda facilities za job…

Apo ndio sparta was wrong…
Kuguruma ikazidi nika anza kuona hii dawa ya ndao sio mchezo…sasa pressure ikazidi kwa tumbo na ata kutembea ilikuwa shida…halafu sikuwa natakaa ku fart juu naogopa aibu…

Ilifika point nikafunga mlango job ata comp sikuzima nikashow jirani nakuja…nikashuka stairs kama mtu amevunjika mguu na nikaingia tuk tuk hadi kejani…

Motion ya tuk tuk ilisaidia tumbo ikatulia kiasi…nikafika kwa gate nikalipa msee na nika anza safari hadi first floor…lakini kufungua tu ivi mlango naskia kublow…after kufungua ivi mlango kufungua mlango ya choo kushukisha trao nikaskia sauti ya ferrari…ata sikuwa nimebend… :frowning:

It has so much force hadi kwa dirisha ya choo…
Wall mzima ilikuwa imejaa kinyesi bana…

Najaribu kutoka naskia kurudi tena…it was hell

Hakuna vile niliweza kurudi job :frowning:

Halafu the cleaning ata sikuweza iyo siku …vile nilipelekwa na iyo dawa siwezi jaribu tena … Na tissue tatu nilitumia…kunyamba took me 2 weeks kupata courage to try

If l went to choo za kanjo sijui igekuwa aje na embarrasement :frowning:

35 Likes

Your shit hit the fan. Literally. Hadi window ya choo…:smiley:

6 Likes

:D:D:D

:D:D:D

:D:D:D:D:D

naona wall painters wa choo za primo na seco ni wengi . nice one though

2 Likes

Ilikuwa noma bana ilifika hadi kwa darri :frowning:

1 Like

Ni Graffiti with an Artistic Touch :slight_smile:

3 Likes

Involuntary Artistic Smelly Touch…

3 Likes

:D:D:D
Una bahati unaishi peke yako!
Hiyo dawa ya Maasai si mchezo. I read here mwengine alipatikana hapo thika flyover. Made me avoid it at all costs

1 Like

Swali ile mimi huliza what do they use to prepare…juu iyo kitu nikama poison juu unakauka lips mbaya ata uki hydrate na maji

Its best usijue. Im suprised u managed the journey home. Huyo driver angekuuzia hiyo tuk tuk if u repainted it!

4 Likes

kazi yako ni kujaza sewage tu.

1 Like

Igekuwa disaster bana

Kuna matatu nilipuke kama nimetoka dunda niko mlevi

Makanga akadai soo mbili ya carwash naye sparta kichwa ngumu…makanga akakataa nitokee

Sparta alitulia na ulevi yake akafungua dirisha pole pole stage yangu nikachomoka kwa dirisha na kuwasho middle finger

1 Like

Hiyo force haikukuinua from the ground?
You know action and reaction…mambo ya Newton.

4 Likes

Kwa hivyo Tommy hiyo day haukuburn mamovie?

Hii ni story ya umeffi.

3 Likes

:smiley: kwani ni airballon

1 Like

Siku burn na vile nilikuwa na order za ngwati

Na hua napewa karibu ya daily, zingine nambiwa nitengenezewe custom zangu pekeangu nimekataa miaka mbili sasa!

2 Likes