Kush yule mnono Spotted

Jamaa wetu aliingia works pale Dubai kukamua ngamia za Abdul kama amechonga jaba. Sasa steam ilikuwa imenasa mpaka Kush akasahau kufunga gate ya zizi. Ngamia moja ikachomoka na kushika highway, and @kush yule mnono had to chase after it otherwise angechunishwa sukuma na Abdul:D:D

https://www.youtube.com/watch?v=TVj7N4-O5uA

:D:D:D:D:D ,shait .

:D:D:D:D Kumbe ngamia inaeza fanya 50KM/h?

:D:D:D:Dkwani kush alikonda

Shait.
Hehehe.

:D:D hiyo Ngamia ikipotea visa ya kush kaput

Hehe … khasia nyinyi

Hiyo ndio ubaya ya kuvaa kanzu. Mbio hakuna

U

nashikilia kanzu kama dame nakuchomoa mbio kali sana 1k dollars kukimbia tu ivo si rahisi

Hats were ukisuspect MTU anataka kukuchunisha sukuma … utaenda mwendo zaidi ya 50km/h!