Kush Yule Mnono

Once upon a time, tulienda paramilitary training somewhere, hapo ndio nikajua a guy called Kuria, who was a fellow trainee, the guy apparently from western used to consume 3 loaves of bread n or either 2 packets of ngumu. After training we wr posted somewhere in Moi ale, together as a twist of fate, where he was deployed to an outpost there, where alijulikana as Mr Ugali n bwana ya mbuzi (the husband of a he goat). Kush clarify this please ka ni wewe

And do you expect Kush to admit its him ??

KUSH ni baba ya MBUZI

@kender9 whats there to clarify?That u r retarded?qualification D+

Paramilitary training…
AP, GSU, KWS, KFS,

Wale walipost picha ya underage kids kimbieni, mumekujiwa

@kender9 I understand the only good thing that comes from those sides is dry fries. Did u sample any of them? Give us the Hekayas.

@kender9 [ATTACH=full]12893[/ATTACH]

1 Like

Vincelly, whats up with U idler, nimeinua mikono I can’t argue with U further.

Thats misguided. Kuku n maziwa ya ngamia ndio mob. Ukitaka kubuy kuku, unasema “Mute guruguru, pesa agam?” meaning “unauza maziwa pesa ngapi?”

Thats misguided. Kuku n maziwa ya ngamia ndio mob. Ukitaka kubuy kuku, unasema “Mute guruguru, pesa agam?” meaning “unauza naziwa pesa ngapi?”

First of all soree for being a confused mujamaa. Second huyo hapana mimi. Lastly that was not me, the nearest I have been to a luhyaland ni stage maragoli huko Kawangware. Ni hayo tu

2 Likes

Ni hayo tu poss.

1 Like

Niaje makende 9

Hahaha, NIAJE @Davidee

Poa sana kush yule badii

Haiya, kush ulikuwa NYS?

Am also good at that; Afan mbeka? 'Do you understand the language? Then if you do ,you say,‘Imbeka aye’ and if you dont, you say ‘mbeku’. ‘Maka nkenu?’ is to say ‘Whats your name?; ‘Ken bisan or bisan na ken’ Give me water’ etc etc…you see!

Hehe kwani sikai kuwa

Unaelewa kiasi but its not Afan mbeka but Afan Imbeta, n if U know it U say dikudiku imbeta meaning “najua kidogokidogo” or if u don know unasema imbeg (u)

Hata mimi nilienda paramilitary training