Kushiba ni muhimu kabla ukunywe guiness

Jioni naingia i club nisafishe tumbo Na guiness baridi
[ATTACH=full]89106[/ATTACH]

1 Like

The plate doesn, match the kibandanski table…

3 Likes

Hii apana kibadaski ni restaurant

Kumbe we we ni peasant chokosh na venye wewe husumbua

1 Like

Wauze sahani wanunue meza hio ina tuaibu small small…

5 Likes

Sijasema mimi ni billionaire

1 Like

Sasa waiter ndio amepiga picha ama you have a third hand.

6 Likes

ukigeuza upside down utaona ‘stolen from…’

4 Likes

Waitress anaitwa shiku

hio shirt yako ulikata na wembe ama kisu?

7 Likes

Ni mende za nyumba:D

2 Likes

Aaai…hiyo trouser yako mifuko ni design gani tena?

1 Like

Nilidhani ni ile kitambaa msee anweka kwa lapo_Oo_Oo_O

1 Like

That looks like something I’d feed my cat. Mbona inakaa kama imetoka kwa ile satchet ya whiskascat food

3 Likes

umenichekesha…iyo ni sunday best ya msee unalinganisha na kitambaa??

1 Like

Si imeshonwa na kitambaa

io sijakataa but kuilinganisha na kitambaa msee huweka kwa laps ni matusi kiplan

Hapa matusi huwa kawaida

1 Like

i think nikukonda akasahau akava trao sideways,hio ni mfuko hapo mbele alafu back pocket hako kadogo kwa leg ya trao haina niguu

3 Likes

yeah huwa fun coz some comments make me laugh loudly publicly