Kuteleza.. Sikuanguka

[ATTACH=full]359808[/ATTACH][ATTACH=full]359809[/ATTACH]

After …
[ATTACH=full]359921[/ATTACH]

The illusionary world of a gambling addict.

Hii bidii unaweka kwa betting afadhali ungeitumia zazile ulikua unafanya KCPE, KCSE na Campus.
Juu ungekua tajiri ambaye ana gamble kama ata nunua hii shamba juu inaweza kua prime baada ya miaka kadhaa.
Lakini saa wewe ni maskini ambaye unapea mhindi tajiri elfu kila wiki ukigoja huyu mhindi arudishe Hio elfu ikiwa mara kumi.
Muhindi ni mjanja sana ana kupea elfu kumi baada ya kukula elfu hamsini
Tafakari hayo

Ulieka ngapi

[ATTACH=full]359932[/ATTACH]