Kutoka nioe cha lazima

Maze kutoka huyu yengs akwamie keja nabuy vitu sikuwa nabuy before

It’s almost a month now and my bills are triple maze…
Kila siku nabuy milk 500ml na escort…
Kila lunch na Sapa maze lazima gas iwashwe… Galdem haezi oga na maji baridi sa nmeambiwa nikirudi Kaa nataka gas ikaakae nirudi na shower head Ile ya maji moto… Si hizo ni tokens maze…

Mi na Andika mahali dowry lazima wapunguze… After all simkuli kila siku

Alafu amenfanya kukuwa liar hata na consider kuhama… Si hiyo ni rent na mwezi bado kuisha… Na Hawa MA landlords hawarejeshi deposit nowadays…

By the way Nani anauza shower head au ni shower whatever… Siko shower (Sawa)

Pole bro. Ndio sasa unaingia next phase of life. Endea shower head kwa Duka za electric appliances…

[ATTACH=full]254861[/ATTACH]

Admin, lisha land whale pole pole

Hapana enterdain lazybone…mchichana aende hustle

:D:D:D:D:D:D
Kula lanye soo mbili ama unyonge mboro na vaseline if you cant manage …stop these complains

Marriage for a man.,.50% loss in territorial authority, 100% bump up in expenses…koff koff

Am komplaining about what am losing… I like my hoes… Not one eating it all… I’m a generous human

Peasantry detected

And it matters how?

Don’t marry,because you are not ready to.

Unalia juu ya tuvitu tudogo sana

Ambia boy wako akuom weekend . uambie dem huyo Ni uncle Ni msick amekuja kuishi . mwambie aishie atarudi auncle akipona

Shower head is almost 1,500 but look at the bigger picture… Your electricity will be much higher than the head in 3 months.

you are now a member boss…utuite baby shawa sasa

You must be at least eating good food and not junk. And may be you are looking better with ironed clothes.

ulinasa kunguru na besha…sasa sustain yeye na iyo coins ulionesha yeye…

From the way he’s complaining about the chic, I doubt he’s getting anything close to that

AMG MGTOW etc huiita kuingia plantation. Sijui walitoa hiyo idea ya plantation wapi…but kama hana job mfukuze asap. Don’t entertain a jobless woman in your house bro. Oa mtu ana gainful employment sio leech.

if you find yourself complaining about expenses, ashana na kunguru utafute garagaria ya kiwango yako.

Ni vile kwangu kumekuwa ku Safi Sana