kutokea dirisha

acha niwachapie karisto mayout…mwaka ni 2008,at then makao ilikuwa thome,kasarani lakini family biz ilkuwa mwiks na back then hustle ilikuwa tu real na ckuwa nmepata yangu so ilikuwa kurauka adi kwa kapetroli ya mzae pretend am busy angalau mamaa asiende njaa…
so uyo mimi kama mtindo ilikuwa kwanza najipulizia matire na nabeba ka mbili za baaden.nikacatch kirai ya 17b as usual heavily stoned macho tu ilikuwa inaniseti lakini mimi ni nani…apana tambua…at around 8 nlikuwa tu napata mat za 14 pass ju most of the nganyas zlikuwa znarudi empty juu ya idhaa ya watu tao zisitupe radah na ata izo mat ndogo ulikuwa tu unapata mtu ka tatu yani haikuwa inachrome
nkapanda mat kama kawa apo homeland na nkajisunda kiti ya manyu kama mtindo plus ata the mat haikuwa na watu ispokuwa apo lembe kwa kadere kulikuwa na wadhii wawili…uyo mimi macho tu iko inje ka nasafisha plus meditating kwa wingi…maneno ilichange after mat kufka apo roysambu,kasa inje ya post mzae flani mhuge 6+ amenyoa tu kipara akabebwa…the nigger aliacha izo seat zote yani na akakam kutulia tu kiti ya corner…yani the whole seats were empty na tu ameona akae beside me katikati kwa viti tatu za manyu??..
baaas ndom zangu zkanishw nkubaya uyu mjamaa lazma akuwe karau plus chini alikuwa amevaa gwanda tu inakaa ya karau high boot ivi…weeh mi najishuku tu vile tu ki aroma kya ndom kinanuka na ata ashajua nkaanza kuhehia…tukakam poa na njeve kibao tu ilikuwa imeniingia ata ckuwa nataka kucough asiskie nkinuka ngwai…maneno ilibadilika tulipofika apo kasah primo akavutiwa murenga au musi na akapick…“mko hapo maternity…ningojeeni tunakuja sai na msitoke” kwa kisauti commanding ya usanse ivi…nkajuwa mimi kwisha ambush in the night ishakuwa mi ntapata mariamu iko tu waiting kuchukua mahabusu na ata evidence iko, huyu @pamba atapata tu promotion pap na mimi…mrasta anza kuingizia…wacha njeve inigonge yani nlijua am done…
a stage before maternity inaitwa stima msee alikuwa apo mbele akasimamisha kirai kudondokea paho…mimi nkajua redemption yangu iko hapa…ctaki kuambia uyu msee asonge nishuke juu naogopa ataniweka tu chain and the worse i have been thinking will kam to pass…dere tu kugonga breaki ivi nakwambia nlifungua diro yote ya nyuma na nkaruka ki swimo adi njei na kuwanguka side ya lami juu i had seated on the right side…uyo mimi nlishika njia ya kiwanja ya kasah stadium na speed ya kitu 60 ivibila ata kuangalia nyuma…nlikuwa naskia tu dere akiuliza "niki ucio niariha ngari’'-nini mbaya na huyo amelipa ndae- the kadere thot nlikuwa nahepa ferrari ya mat…ckutaka kujua ka kuna oncoming car nlivuka mawe mawe…iyo day ndom ilinonesha maajabu walai after realizing ile uzii nmefanya…

55 Likes

Hekaya on point mzito
Meditation muhimu though ulirisk maze

2 Likes

Bangi isiwe huru.

5 Likes

Friday evening made, nimecheka kaa mwendaa.
Uliza @inzhener otmetka vile Sima moto na uji moto zilivyo nionyesha after kuvuta dhom

7 Likes

[ATTACH=full]90060[/ATTACH]

1 Like

:D:D:D:D Ndom wakati mwingine inapatia mtu paranoia ajabu. kuna siku nilichoma kejani nikasikia kama kuna watu wanang’oa mlango waingie,hiyo siku sikulala my fren

26 Likes

:D:D:D

My favorite nikichoma, utasikia instruments zote my fren

https://www.youtube.com/watch?v=i-Vaoy5jjYY

1 Like

Hehehe, umefanya ninyongwe na pombe

:D:D:D:D:D:D…Waah! bangi si dania.

Ati ukalamba lambi[ATTACH=full]90065[/ATTACH]

1 Like

You risked your life ,suppose a car from mwiki knocked you down ! That stima stage is bad.do you still smoke that snuff ?

Paranoia ukiwa weed huwa epic. :D:D

2 Likes

Hahaha! Na imagine kama ingekuwa lift na umefika 19th floor.

2 Likes

:D:D:D:D
Vuta bangi zako pole pole.
Wah!

1 Like

:D:D:D:D:D:D:D:D:D

Iko mtu amesahau kazi hapa

hahaha mavela pia zimenionyesha mambo

1 Like

Walai aki…

He he he!
“ngima ni hiu shoro no
muhiu”!

3 Likes