Kutolewa ushamba Nairobi: Painful lessons

It was just after form 4 and my parents decided to take me to a friendly cousin pale Nairobi. Nliingia nyumba yake pale Kariobangi south zile nyumba za kanjo Flat R.

Compared to where I came from aka my Village thingira this place was out of a movie literally.

Sasa I joined computer classes which were very very expensive, they costed up of 47k (But my late mzee had sworn his son lazima ajue computer come rain come shine) sio Kama skuizi packages ni 5k. With this I was the first in my family to know a computer and maybe even my village.

I was highly cautioned about the conmen of Nairobi and was everyday reminded that not to talk to anyone since they could remove the shamba out of me and I would like to narrate as they are with no Mercy.

For a few months I saved up every dime and managed to save 400 Bob. This was much cash to me then. One day as I was coming from my classes, I was with my jamaa and best friend Lee. Lee alikuwa pointi was mwarabu and a kikuyu. Alikuwa anatoka hapo umoja and was really keeping me up with knowing the streets. So that day we met with Airtel people wakasema kuna ruffle ticket unaezashinda Radiowave, Motorola, and other goods ata pickup, given that the item appears 3 times kwa scratched ruffle. Weeh nlikuwa ndani on mentioning pick-up. Wakasema kila ticket ni 300 mimi nkasema nina 200
Lee akaanza kucheka na kuniambia hizi ni con za mtaa. I dismissed him na nikaamua hii pick-up lazima ilale Kariobangi south nje ya flat (mind you ata sikujua kudrive )
After much negotiation which were being hampered by the laughter from Lee, wakaagree kuchukua mia mbili, half my life savings.

Weeeh hio mia mbili iliexchange mikono so fast sikuona nani aliendup nayo. Nkapewa ruffle moja nikascratch. To my surprise the first item ilikuwa pick-up. I thanked God and prayed niendelee ivo, I scratched allother items on the raffle very fast. Bad day, nlipata other three items zilikuwa zimeandikwa radio wave. Nlipewa hio radio wave, kumbe ilikuwa kapaper kadogo kako na tulines. Nkaambiwa hio ndio radiowave. Nkauliza sasa inatumikaje, wakasema unaeka mbele ya simu ndio usipatwe na radio waves. By now I was resenting my choise. Meanwhile Lee was having hickups due to the long period he had been laughing at me.

I felt conned and efforts za kurudishiwa dooh zilipoambulia patupu nkaenda home. On my way nkakumbuka nilikuwa nafaa kununua liver na pesa nliachiwa mezani, nkaingia butchery, complained to the butcher of how I had been ‘Conned’, and he quickly learned that this mongo is from mashambani. nkanunua ya 100 Bob. Only kufika kwa nyumba ilikuwa imeoza on cooking foul smell ilikuwa imejaa nyumba. On retuning the meat, butchery man could not hear non of it. akakaataa kuichukua na kusema at hajai niona. He threatened nisipotoka ataitana, claiming watu Kama Mimi ndio huharibu biashara za wenyewe. Jilted and angry on second time being duped same day I went away.

I quickly replaced the liver with my own money, this time conducted a thorough inspection ndio my Nairobi cousin asijue. Nkakuwa nmebaki with 100 bob total life savings after that day. Way kufunzwa na Nairobi.

:D:D:D:D

:D:D

:D:D hii yako imezidi.

:D:D:D

:D:D:D:D:D…

8 green emojis

Pole sana

Hivo ndivyo kunaendaga.
Hivo ndivyo kunaendaga!
(Weka rap hapa)

Nilikuwa kasoup na sembe sasa napapasa kautambi hivyo ndio kunaendaga, ulilenga sister yangu unaenda Nairobi ukaoa kahaba, ulikunywa ukableki hivyo ndio ulituangusha.

mimi sijawahi conniwa. I am too bright

Hahahahaha. You nailed it!

msee kueka your Guard up always, ndio way to go

same incident happen to me pale Githurai when thika road was a road not highway

I am a Genious. Thas why

:D:D:D:D

You call a hekaya?
Foo bra. Go bring a hekaya!

Unajiita genius na huwezi andika hio jina

Nomaa

:D:D:Dnice one