kuuliza si ujinga.....safaricom bundles????

i have noted something weird,funny or perhaps new,pliz make me understand where my bundles go if i leave my phone’s internet connection on???

N/B …my phones setting for application and phone updates are set to update only when on wifi…sometimes the phone could take 50mbs plus credit ya 100+…surely who is taking my bundles???

umezima background data? All those apps are constantly communicating with their mother servers, how do you think emails and whats app messages get delivered? Ama facebook and twitter notifications?

eeeeeeeh tumia kiingereza

Turn off auto sync.

1 Like

yaani facebook applicationi yako inafanya mjadala na mamake mzazi mwenye kuserve (ukipenda umalaya) anayeishi huko ulaya. applikesheni kama twitter, imeli na kadhalika zafanya kazi kinyume na mbele:)

9 Likes

:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D:D

hehehehehehehehehe mchozo ndani ya job

remember asking for a ktalk app hapa http://www.kenyatalk.com/index.php?threads/to-admin-and-your-gang-members.9367/ ? mtu kama wewe i bet uko na lots of apps kwa simu. apps like Facebook, Twirra, whatsappu etcetra require internet connection to communicate with their servers. this enables them to update info, ndio maana you get those notifications. if not using just turn off data. pia si lazima u install all apps suggested. just use your browser

50mb ni kidogo bana

[ATTACH=full]16725[/ATTACH]

34billion in profits hio mia yako iko hapo

50mb si kidogo kama ni simu…

Kama ni android restrict background data hapa…
Settings>Wireless and Networks>More>Data Usage…
[ATTACH=full]16774[/ATTACH]

Hapa ndio fala kama google play store itawacha kujiupdate lakini itaanza kuforce close

Heheheheh!